Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuh... Yaani Arsenal mpaka Sasa hana shot on target hata moja!?? .... Aseee .... Dortmund naye kawekwa....
 
Game ya Aseno Over 2.5
Game ya Brentford Under 3.5

1Half scoreboard inasoma hivyo 😂
 

Attachments

  • 4BAB5016-3694-41D8-B01D-8F414DB3FF34.jpeg
    293.2 KB · Views: 3
  • 637991BD-6E50-407F-A893-C2C62A9B9671.jpeg
    321.2 KB · Views: 4
Mkuu 2+ inahitajika hapo na kawaida saa hii anakuwaga kashatupia hata moja
Hali tete mkuu

Na siku hizi Arsenal hali ikiwa tete ana force kushinda hata bao moja tu na sio kufunguka kutafuta nvua ya mabao
 
jana kuna member humu aliforward mkeka kutoka online discussion forum ya Kibongo, ni kama JF tu.

nikasema ngoja niipitiepitie, nayo ina vyeo vya members kama ilivyo huku JF. vyeo vyake sasa. kuna cheo cha "Mpiga Chabo"
 
Defence ya leverkusen ni kama uchi wa mnyama muda wote iko wazi. Hawa ni wazuri kwa over na gg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…