Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
First half hii hana ontarget hata moja nilimuomba goli mbili sijui kama atatoa may be second halfArsenal anasepa na hela zetu leo [emoji16]
Kipindi cha kwanza hicho mkuu subiria cha pili!?Huyu arsenal hana ontarget hata moja hadi sasa kama hataki kufunga afungwe yeye tunataka goli 2 hapo kwake
Arsenal huyu mpaka Sasa hana shot on target!??....Kuna odds saba za kufumba macho:
Madrid win
Baselona win
Chelsea win
Arsenal win
Man city win
Liverpool win
Mengine tumwachie mungu
Anashinda hii game mbonaArsenal anasepa na hela zetu leo 😁
Mkuu 2+ inahitajika hapo na kawaida saa hii anakuwaga kashatupia hata mojaAnashinda hii game mbona
Hatari sana, sijui ni fatigue ya mechi ya uefa 🤦🏾🤦🏾First half hii hana ontarget hata moja nilimuomba goli mbili sijui kama atatoa may be second half
Samahani humu tupo na Mechi Kiume tuuuHuyu refa aliechezesha mechi ya Yanga v JKT Queens mshenzi kishenzi anapenda Yanga ifungwe
Mzee umeniquote unanichana mimi au huyo aliyetangaza kuuza odds humu!? Mi namchana nawe unakuja kunichana mimi tena!? Au ndo stress za majamvi!?ka
tafute watoto wadogo kule fb ila aio hapa , mzee baba njaa zako zikomee huko
Hali tete mkuuMkuu 2+ inahitajika hapo na kawaida saa hii anakuwaga kashatupia hata moja
Hatari sana unatamani ureverse uweke kinyume chakeGame ya Aseno Over 2.5
Game ya Brentford Under 3.5
1Half scoreboard inasoma hivyo [emoji23]