Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa midtjyland dah wameshindwa kweli 2+ kazi ipo mtaji wote kwishaaaa
 
Daaah siku ukiwafata wanakukataa siku ukiacha yanatoa hata 4+ majinga sana
 
Reactions: DLS
Asanteni sana mlionipa tips, nauli ya kutoka Dodoma imepatikana. Sometym inabidi kutembelea nyota ya wengine tu. Tusijiamini sana

Cc Buddy
Mtoto wa nzi
Tpaul
Moyes
Root
Sumve
 
Asanteni sana mlionipa tips, nauli ya kutoka Dodoma imepatikana. Sometym inabidi kutembelea nyota ya wengine tu. Tusijiamini sana

Cc Buddy
Mtoto wa nzi
Tpaul
Moyes
Root
Sumve


Ni kweli, ila Mitjylland alipewa ushindi karibia watabiri wote ... BankoCep, Clevertips, BankoLig etc ... lkn kafanya fyongoo ...
 
Ni kweli, ila Mitjylland alipewa ushindi karibia watabiri wote ... BankoCep, Clevertips, BankoLig etc ... lkn kafanya fyongoo ...
Nashukuru Mungu muda nashuka kwenye basi mechi yao ishafika mbali nikaiacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…