Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hivi blaza unajuabbado naitafakari hii option? pamoja na Maelezo yako jana ila nashindwa kuitofautisha na option ya 2+

au utofauti wake upon wapi?

nimeamua kufanya malipo na kwa 2+ ili ujionee utofauti na kwa faida ya wengine wengi

ukiwapa 2+ hao hao odds Jumla ni 85
ukiwapa UNDER 1.5 EACH HALF NO odds Jumla ni 1223

angalia odds moja moja utaona utofauti wa 2+ na hii ingine
 
Attachments

  • Display Account(7).png
    15.9 KB · Views: 37
  • Display Account(8).png
    16.6 KB · Views: 38
nimeamua kufanya malipo na kwa 2+ ili ujionee utofauti na kwa faida ya wengine wengi

ukiwapa 2+ hao hao odds Jumla ni 85
ukiwapa UNDER 1.5 EACH HALF NO odds Jumla ni 1223

angalia odds moja moja utaona utofauti wa 2+ na hii ingine
Under 1.5 each half NO si ina maana kila kipindi kiwe over 1.5 au inakuaje
 
asante mkuu ngoja nikufuate pesa hii
 
hivi blaza unajuabbado naitafakari hii option? pamoja na Maelezo yako jana ila nashindwa kuitofautisha na option ya 2+

au utofauti wake upon wapi?

Nilivyoielewa hii option kwa mujibu wa Mtoto wa nzi ni hivi;

Wakisema "Under 1.5 in each half" ukisema No, utakula kama kuna half itakayoleta magoli zaidi ya 2.

Kama ikitokea half ya kwanza ikawa na goli 1, na half ya pili nayo ikawa na goli 1 utakuwa umeliwa; ingawa game ina 2+.

So kwa maana nyingine ni kwamba atleast kipindi kimoja kiwe na magoli mawili au zaidi.
 
Under 1.5 each half NO si ina maana kila kipindi kiwe over 1.5 au inakuaje
nilishatoa maelekezo mkuu.... ngoja nirudie tu sitokufa

HAIMAANISHI KILA KIPINDI KIWE NA MAGOLI MAWILI - KILA KIPINDI KUWA NA MAGOLI MAWILI NI (OVER 1.5 EACH HALF YES) maana ya UNDER 1.5 EACH HALF NO NI KWAMBA kipindi chochote sio VYOTE ,kitoe magoli mawili NARUDIA TENA KIPINDI CHOCHOTE KITOE MAGOLI MAWILI SIO KILA KIPINDI KITOE MAGOLI MAWILI .....

NA MACHAGUO YENYEWE PIA NILISHAYAWEKA HAYA HAPA
 
Attachments

  • Display Account(6).png
    3 KB · Views: 33
😀😀😀😀 VERY GOOD VIZURI SANA MERVELLOUS EXELLENT .....
 
So hapa ina maanisha atleast kipindi kimoja kitoe over 1.5, so ikiwa NO unakuwa umekula but kila kipindi kikitoa goli moja ndio unakuwa umeliwa.
Mekupata mkuu
 
So hapa ina maanisha atleast kipindi kimoja kitoe over 1.5, so ikiwa NO unakuwa umekula but kila kipindi kikitoa goli moja ndio unakuwa umeliwa.
Mekupata mkuu
KUKUONGEZEA NOTSI KWA UFAULU MZURI

ikitokea kila kipindi kimetoa UNDER 1.5 , Hapo chaguo lake ni UNDER 1.5 EACH HALF YES ...POINT ZAKE 2.25, 2.5 ...ni nzuri sana ila NI VERY RISKY kwamba kila kipindi kisifikishe goli 2...
 
Mkuu kwa hiyo hapo ni 2+ Full time
 
Mkuu kwa hiyo hapo ni 2+ Full time
MDAU ... inaweza kuwa full Time 2+ lakini HAKUNA KIPINDI KILICHOTOA 2+ , HAPA TUNAONGELEA KIPINDI KIMOJA KIMOJA TUUUUU..... ukishindwa cha kwanza basi unasubiri cha pili ... HATUJUMLISHI MAGOLI YA KILA KIPINDI ...HAYA TAZAMA MFANO WA HII BET NILIYOLIWA.....
1) NEWCASTLE V READING ..kipindi cha kwanza tu kilitoa 2+ NIMEKULA imetosha cha pili hakikunihusu
2) cardif v blackburn ... cha kwanza tu kimetoa 2+ NIMEKULA imetosha cha pili hakikunihusu
3) Barnsley V qpr .... cha kwanza kimetoa 1+(under 1.5) , ila kipindi cha pili kimetoa 2+ (nimekula sababu kipindi cha pili kimetoa 2+ ingawa cha kwanza hakikutoa 2+) cha kwanza hakinihusu
4) Fleetwood v Oxford utd .... cha kwanza wametoa 0(under 1.5) ila cha pili kimetoa 2+, cha kwanza hakinihusu
5) Bristol rovers V Bolton .... cha kwanza kimetoa 2+ , NIMEKULA cha pili hakinihusu
6) Stuttgater kickers V kaiserslautern... kipindi cha kwanza wametoa 2+ , NIMEKULA japo cha pili wametoa under 1.5

KWA NILIZOPATIA TUISHIE HAPO TUJE NILIPOKOSEA

9) Rost Weiss Essen V Leverkusen ... Kipindi cha kwanza wametoka 0-0 (under 1.5), na kipindi cha pili wametoka 1-0 (pia under 1.5) UKIANGALIA HAPA HAKUNA KIPINDI CHOCHOTE KILICHOTOA 2+ NIMELIWA
11) ARMINIA BIELFIELD V Fortuna Dusseldolf ...kipindi cha kwanza 0-0 kipindi cha pili 0-1 , HAKUNA KIPINDI KILICHOTOA 2+ NIMELIWA
13) HAMBURG V WOLFSBURG ... kipindi cha kwanza 0-1, kipindi cha pili 0-1 matokeoa ya jumla 1-1 (2+ ila nimeliwa KWA NINI - JIBU HAKUNA KIPINDI KILICHOTOA 2+
16) HOFFENHEIM V MAINZ .... Kipindi cha kwanza 1-0, kipindi cha pili 1-0 matokeo ya jumla 2+ lakini nimeliwa KWANINI JIBU NI HAKUNA KIPINDI KIMETOA MAGOLI MAWILI

IMEBIDI NIANDAE NOTSI NA MFANO NILIOCHEZA ... LABDA NITAELEWEKA

WENU

MWALIMU WA STADI ZA KAZI
 
Attachments

  • NO.png
    15.4 KB · Views: 40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…