Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
nenda kwenye "my account)...click "account overview"... kuna lost, won, undecided.... ukiclick kimoja wapo kinakuletea mikeka husika kama iliyoliwa (lost), uliyokula (won ) au ambayo bado inaendelea (undecided)...Natumia simu mkuu
Nafanya hayo yote lakini haijifungui inakuwepo tunenda kwenye "my account)...click "account overview"... kuna lost, won, undecided.... ukiclick kimoja wapo kinakuletea mikeka husika kama iliyoliwa (lost), uliyokula (won ) au ambayo bado inaendelea (undecided)...
Samahani mwalimu Ningependa kuuliza mchezo wa double chance una maana gani nakuomba unifafanulie niuelewe manake ninazofahamu ni normal,handcap,multple bet, both goals, 45 min ila huo na mchezo mwingine uliobaki kwa mujibu wa m bet siifahamu.MDAU ... inaweza kuwa full Time 2+ lakini HAKUNA KIPINDI KILICHOTOA 2+ , HAPA TUNAONGELEA KIPINDI KIMOJA KIMOJA TUUUUU..... ukishindwa cha kwanza basi unasubiri cha pili ... HATUJUMLISHI MAGOLI YA KILA KIPINDI ...HAYA TAZAMA MFANO WA HII BET NILIYOLIWA.....
1) NEWCASTLE V READING ..kipindi cha kwanza tu kilitoa 2+ NIMEKULA imetosha cha pili hakikunihusu
2) cardif v blackburn ... cha kwanza tu kimetoa 2+ NIMEKULA imetosha cha pili hakikunihusu
3) Barnsley V qpr .... cha kwanza kimetoa 1+(under 1.5) , ila kipindi cha pili kimetoa 2+ (nimekula sababu kipindi cha pili kimetoa 2+ ingawa cha kwanza hakikutoa 2+) cha kwanza hakinihusu
4) Fleetwood v Oxford utd .... cha kwanza wametoa 0(under 1.5) ila cha pili kimetoa 2+, cha kwanza hakinihusu
5) Bristol rovers V Bolton .... cha kwanza kimetoa 2+ , NIMEKULA cha pili hakinihusu
6) Stuttgater kickers V kaiserslautern... kipindi cha kwanza wametoa 2+ , NIMEKULA japo cha pili wametoa under 1.5
KWA NILIZOPATIA TUISHIE HAPO TUJE NILIPOKOSEA
9) Rost Weiss Essen V Leverkusen ... Kipindi cha kwanza wametoka 0-0 (under 1.5), na kipindi cha pili wametoka 1-0 (pia under 1.5) UKIANGALIA HAPA HAKUNA KIPINDI CHOCHOTE KILICHOTOA 2+ NIMELIWA
11) ARMINIA BIELFIELD V Fortuna Dusseldolf ...kipindi cha kwanza 0-0 kipindi cha pili 0-1 , HAKUNA KIPINDI KILICHOTOA 2+ NIMELIWA
13) HAMBURG V WOLFSBURG ... kipindi cha kwanza 0-1, kipindi cha pili 0-1 matokeoa ya jumla 1-1 (2+ ila nimeliwa KWA NINI - JIBU HAKUNA KIPINDI KILICHOTOA 2+
16) HOFFENHEIM V MAINZ .... Kipindi cha kwanza 1-0, kipindi cha pili 1-0 matokeo ya jumla 2+ lakini nimeliwa KWANINI JIBU NI HAKUNA KIPINDI KIMETOA MAGOLI MAWILI
IMEBIDI NIANDAE NOTSI NA MFANO NILIOCHEZA ... LABDA NITAELEWEKA
WENU
MWALIMU WA STADI ZA KAZI

Badili browser unayo itumia ku log in either tumia browser original ilio kuja na sim ama download either chrome au mozila..Nafanya hayo yote lakini haijifungui inakuwepo tu
Double chanceSamahani mwalimu Ningependa kuuliza mchezo wa double chance una maana gani nakuomba unifafanulie niuelewe manake ninazofahamu ni normal,handcap,multple bet, both goals, 45 min ila huo na mchezo mwingine uliobaki kwa mujibu wa m bet siifahamu.
Poa poa ngoja nifanye hivo, nadhani hilo ndio tatizoBadili browser unayo itumia ku log in either tumia browser original ilio kuja na sim ama download either chrome au mozila..
..
Nimesha jaribu kweny operamin kuchek account overview haikubal ata Uc browser nayo haikubali ni Mpaka nitumie Original browser ya sim so na wew jaribu kufanya ivoo
Umekula nn unatafuta pa kuanziaWakuu hivi, kuna watu washakula Mil 40 and premier bet au kampuni yoyyote ya bet? Je huwa wanalipa bila taabu??
ahahhahahahaah anawaza kwa sautiUmekula nn unatafuta pa kuanzia
Eti nasikia kuna jamaa alipiga 100 mil wakamzingua kumlipa..Wakuu hivi, kuna watu washakula Mil 40 and premier bet au kampuni yoyyote ya bet? Je huwa wanalipa bila taabu??
MIMI BINAFSI NILIONA PREMIER BET MWANZA ALIKUJA JAMAA na mikeka mi3 KAPIGA 25M aliutoa mara 3 yaani 75M mkeka mmoja ilibidi wengine wote tuambiwe turudi wiki inayofata kwa malipo ....Eti nasikia kuna jamaa alipiga 100 mil wakamzingua kumlipa..
Ni story za kitaa
Sidhani kama huwa kuna longo longo katika malipo, nachokifahamu kwenye simu ukishinda hela ndefu ndio mpka uende ofisi husika then unapewa. Hii inafahamika kisheria so longolongo hazipo labda upoteze mkeka afu useme ulishindaMIMI BINAFSI NILIONA PREMIER BET MWANZA ALIKUJA JAMAA na mikeka mi3 KAPIGA 25M aliutoa mara 3 yaani 75M mkeka mmoja ilibidi wengine wote tuambiwe turudi wiki inayofata kwa malipo ....
Eti nasikia kuna jamaa alipiga 100 mil wakamzingua kumlipa..
Ni story za kitaa
Wakuu hivi, kuna watu washakula Mil 40 and premier bet au kampuni yoyyote ya bet? Je huwa wanalipa bila taabu??
Nimeweka kama huo ila timu 14, jah bless usodds 43.... ngoja ajichanganye .... nimemaliza kwa leo....
Shukrani sana mwalinu nimekuelewa .Double chance
1X AU 1/X- timu ya nyumbani ashinde au atoe sare ASIPOTEZE MECHI
12 AU 1/2 - Ishinde timu yeyote kusiwe na sare
X2 AU X/2 - timu ya ugenini ishinde au itoe sare ISIPOTEZE
Hiii kitu umeisuka mkuu....
Unashangaa hata ukiweka moja unakosa sembuse nne, ni kumuomba tu munguWakuu mimi tangu juzi kila nikibet nakosea mechi 2 tu juzi kati Fc porto nilimpa win , villa real nikampa sare wakaniroga nikakosa 120000.
Huyo huyo tena fc porto kwenye ticket ya B.GOALS AKANIKOSESHA 232 K,
Jana nimebet mara 3 kila mkeka nimekosea mechi 2 sasa kuanzia leo naweka mechi 4 mwisho .
MAN WIN
LYON WIN
BRAGA WIN
Wiki nzima kila mkeka mchawi moja mikeka 5×2000 team 15/bet slip hesabu za haraka haraka 4.7 mil nimekosa na 10k kupoteza..[emoji20] [emoji20] [emoji20]Wakuu mimi tangu juzi kila nikibet nakosea mechi 2 tu juzi kati Fc porto nilimpa win , villa real nikampa sare wakaniroga nikakosa 120000.
Huyo huyo tena fc porto kwenye ticket ya B.GOALS AKANIKOSESHA 232 K,
Jana nimebet mara 3 kila mkeka nimekosea mechi 2 sasa kuanzia leo naweka mechi 4 mwisho .
MAN WIN
LYON WIN
BRAGA WIN