Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wewe ni Mke wake naona unamtetea sana dudu limeshakukolea mumeo anafanya ujinga kuingiza Chaka wakamaria wewe unavaa kanga Yako Moja unakuja kumtetea Sasa tumemstukiaAcha wivu mtoto wa kiume kama unaona Ser anafaidi tafuta kampuni na wewe uwe dalali
1xbet pia ina mawakala na wapambe wengi ila hiyo haizuii changamoto za kimtandao kutokea.
Kingine anatumia bando/simu/pc na muda wake hivyo usimpangie mtu cha kufanya waka kuandika.
Wacha niongeze na hii tena kamchango kidogoAsante kwa kuchangia kampuni kijana.
Ndio, unataka kuwa mke wa pili?Wewe ni Mke wake mbona unamtetea sana
Ooh kumbe unatetea ugali wa mmeo basi sawaNdio, unataka kuwa mke wa pili?
Sawa ila kumbuka huwezi kupata million kwa jeroOoh kumbe unatetea ugali wa mmeo basi sawa
Wewe una milion ngapi mpaka sasaSawa ila kumbuka huwezi kupata million kwa jero
Tafuta mtaji,tumia muda kuchambua games,tafuta kampuni inayokufaa,tumia simu yenye uwezo mzuri wa internet alafu fanya Ubashiri.
Ndiyo mkuu, tujaribu na leo maana betting huwa haieleweki.tuishi hapaa
Asante babu kanji kwa kuniwezesha kubeti bure kwa pesa yako mwenyewe 😁😁Asante kwa kuchangia kampuni kijana.
Acha wivu mtoto wa kiume kama unaona Ser anafaidi tafuta kampuni na wewe uwe dalali
1xbet pia ina mawakala na wapambe wengi ila hiyo haizuii changamoto za kimtandao kutokea.
Kingine anatumia bando/simu/pc na muda wake hivyo usimpangie mtu cha kufanya waka kuandika.
Jero kwa milioni mbona pesa ndogo sana hiyo watu tuna mpango wa kula 20 milioni kwa tsh 50 taslimu pesa halali ya tanzania 😕😕Sawa ila kumbuka huwezi kupata million kwa jero
Tafuta mtaji,tumia muda kuchambua games,tafuta kampuni inayokufaa,tumia simu yenye uwezo mzuri wa internet alafu fanya Ubashiri.
Nimejisajili Paripesa usajili umekamilika nime deposit hela na Naangalia kwenye account hakuna kitu wakati m pesa wamenirudishia sms inayo thibitisha hela imetumwa hawa ni matapeli.Mkuu siyo Promo, wewe Ukijisajili Utapewa Bonus Ya Mwisho Laki Tatu. Ukiweka 100000, utaongezewa 100000 nyingine. Ukiweka 150000 utaongezewa 150000 nyingine
Hahaha Kuna njemba humu kila siku inawatetea🤣🤣🤣🤣Nimejisajili Paripesa usajili umekamilika nime deposit hela na Naangalia kwenye account hakuna kitu wakati m pesa wamenirudishia sms inayo thibitisha hela imetumwa hawa ni matapeli.
Mkuu shida haipo PariPesa, shida ipo kwenye mtandao wa Vodacom. Mbona kuna watu wengi tu wana Deposit mkuu. Leo hii watu wengi wamedeposit na hela imefika.Nimejisajili Paripesa usajili umekamilika nime deposit hela na Naangalia kwenye account hakuna kitu wakati m pesa wamenirudishia sms inayo thibitisha hela imetumwa hawa ni matapeli.
Nimejisajili Paripesa usajili umekamilika nime deposit hela na Naangalia kwenye account hakuna kitu wakati m pesa wamenirudishia sms inayo thibitisha hela imetumwa hawa ni matapeli.
Nikiwaaga na stake ndogo huwa napenda kujilipua odds nene.Umecheza vizuri sana ila sasa matokeo kukaa kama utakavyo kwa ligi yetu ni kazi kubwa mno😒😒