Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Wewe ni Mke wake naona unamtetea sana dudu limeshakukolea mumeo anafanya ujinga kuingiza Chaka wakamaria wewe unavaa kanga Yako Moja unakuja kumtetea Sasa tumemstukiaAcha wivu mtoto wa kiume kama unaona Ser anafaidi tafuta kampuni na wewe uwe dalali
1xbet pia ina mawakala na wapambe wengi ila hiyo haizuii changamoto za kimtandao kutokea.
Kingine anatumia bando/simu/pc na muda wake hivyo usimpangie mtu cha kufanya waka kuandika.