Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

2.61 Selfoss win
1.84 Standard Liege Win
2.12Lech Poznan win
 
Wakuu hivi, kuna watu washakula Mil 40 and premier bet au kampuni yoyyote ya bet? Je huwa wanalipa bila taabu??


Wanakulipa bila longo longo mzazi ... we changa tu karata zako vzr umtusue. Kuna jamaa mwaka jana alipiga 30m walimpa, akaenda kuvuta Toyota Carina yake saaaafi ... nyingine akafanya mambo mengine.
 
Wanakulipa bila longo longo mzazi ... we changa tu karata zako vzr umtusue. Kuna jamaa mwaka jana alipiga 30m walimpa, akaenda kuvuta Toyota Carina yake saaaafi ... nyingine akafanya mambo mengine.
Aisee safi sana
 
Wanakulipa bila longo longo mzazi ... we changa tu karata zako vzr umtusue. Kuna jamaa mwaka jana alipiga 30m walimpa, akaenda kuvuta Toyota Carina yake saaaafi ... nyingine akafanya mambo mengine.
Hahaahaaaaaa umenkumbusha jamaa huku pori alimpiga 13M akanunua bajaji matairi matatu bajaji zake 3.. Akazibandika nyuma Asante premier bet.... Zimemuingizia pesa sasa ana miliki gari cresta.....
 
Wakuu kuna alienifata kwenye huu mkeka ? Mpk sahv umefkia hapa ?
 
Hahaahaaaaaa umenkumbusha jamaa huku pori alimpiga 13M akanunua bajaji matairi matatu bajaji zake 3.. Akazibandika nyuma Asante premier bet.... Zimemuingizia pesa sasa ana miliki gari cresta.....


Safi sn ... watu na 'vismat' vyao bana. Sir God atufanyie wepesi na sisi cku moja.
 
Hongera sn Chief, odds chache lkn ukishinda unapata moyo wa kusonga. Mimi jana Mitjylland kaninyima hela nzr ms*ng* yule sina hamu nae ... odds 37.13 ... mxiuuuuuuu

View attachment 384158
Du, pole sana chief. Yote maisha. This game does not need any ANGER. Ngoja tujipinde tena leo naona kuna timu zinasomeka tukusanye mtaji wa kuliwa kesho na keshokutwa maana wikendi ni siku za kuliwa.
 
Kubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...
Umenena ukweli mtupu mkuu.
 
Nani hawa mkuu? Hawa ndio wazuri, nataka nihamie huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…