Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hawa helabet mnawaelewa kweli? Mi ndo kwanza nimjirejester nikadiposit 20K lakini wamepita nayo kwenye akaunti haionekani tangu jpil mpaka leo hawajarudisha na kila nikiwapigia simu naona wananirusharusha tu
 
Hii imekaaje wakuu natakiwa kushinda 378k lakini cashout imefika 380k?
cashout ya sportybet huwa ni pungufu ya cashout wanayokwambia. mfano wakikwambia cashout ni 100,000, ukicashout utapata pungufu ya 100,000.

hapo unatakiwa kushinda 370k lakini wamekutamisha na cashout ya 380k. mtego huo, ukicashout utapata pungufu ya 380k na 370k.
 
Sasa mkuu si utapeli huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…