Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hawa helabet mnawaelewa kweli? Mi ndo kwanza nimjirejester nikadiposit 20K lakini wamepita nayo kwenye akaunti haionekani tangu jpil mpaka leo hawajarudisha na kila nikiwapigia simu naona wananirusharusha tu
Kampuni baadhi za mrusi kufanikiwa kudeposit na kuwithdraw ni kamari tosha.

Mimi kuna kampuni niliwithdraw jumapili na ikawa aproved, baada ya lisaa ikaonesha imeshakuwa completed lakini kwenye simu hamna kitu.
Nimewasiliana nao wakasema niwatumie m-pesa statement lakini mpaka asubuhi bado.
Nikawapigia kwa telegram ndio wanasema inashughulikiwa na financial department.

Sasa fikiria labda hiyo pesa ndio ilikuwa ya nauli na upo ugenini.
 
cashout inayozidi stake huwa inakatwa kodi,.....
wakati winning amount inayooneshwa pale huwa tayar wameshakata kodi,

(ndio mana cashout yao huwa inakua pungufu ya kile kiasi kinachosoma pale), nadhani hata bp iko hivyo hivyo
 
Sportybet wahuni sana jumapili cashout imefika 1m, cashout inaonekana 1M lkn ukitoa haitoki kisa nimeweka stake ndogo.



 

WAKE UP TO BOOM ON PARIPESA 🏀

Booking Code: 46BES

Betia PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jisajili Hapa 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya TZS 300,000
 
Wakuu hawa helabet mnawaelewa kweli? Mi ndo kwanza nimjirejester nikadiposit 20K lakini wamepita nayo kwenye akaunti haionekani tangu jpil mpaka leo hawajarudisha na kila nikiwapigia simu naona wananirusharusha tu
Mifumo Yao ya malipo ikiyumba kidogo Hila haisomi. Hivyo hata ukichati nao watakusumbua tuu mara tuma evidence of transaction lakini baada ya wiki watarudisha automatic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…