Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu uwe unatuma hivi kabla ya mkeka kutiki iii tuone machaguo yako, sie wenye sportbety na betpawa tufate.

Hatuwezi wote kuwa paripesa
Mkuu ukiona natuma matokeo ya mkeka ulioshinda hapa basi ujue Niliupost kwanza hapa. Siwezi post matokeo ya mkeka ambao sikupost. Kuhusu kupost Mkeka Wa betpawa na Sportybet, betpawa na Sportybet hawana MASOKO ambayo yapo kwenye PariPesa.
 
psg, juve, atalanta.......
hawa watu wamenifanya kitu mbaya!

kwa mara ya kwanza wiki ya uefa naondoka patupu, maajabu
 
Mkuu ukiona natuma matokeo ya mkeka ulioshinda hapa basi ujue Niliupost kwanza hapa. Siwezi post matokeo ya mkeka ambao sikupost. Kuhusu kupost Mkeka Wa betpawa na Sportybet, betpawa na Sportybet hawana MASOKO ambayo yapo kwenye PariPesa.
Namaanisha upost hints

Mfano
Liver vs atalanta - GG au over 2.5
 

LUNCH TICKET, CHINA BASKETBALL πŸ€

Code: NETE7

Bet PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jisajili Hapa πŸ‘‡

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Wakati Wa Kujisajili Upate Bonus Ya Mpaka TZS 300,000.
 
We jama ushauri wako niliufata nilikua nimetia laki cash out ikasoma tisini, nikaitia yote kwenye zilizokua live liverpool ,barca , city ,feeyenod alooo nikamchapa mhindi
 
We jama ushauri wako niliufata nilikua nimetia laki cash out ikasoma tisini, nikaitia yote kwenye zilizokua live liverpool ,barca , city ,feeyenod alooo nikamchapa mhindi View attachment 3134011
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Hongera Mdau

Sometimes hofu huonyesha njia sahihi,maana match ilikuwa tia maji tia maji

Hongera kwa kujiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…