allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,160
- 766
Sio poa kakaDah week ngumu hii,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio poa kakaDah week ngumu hii,
Atletico mbwa huyu.Inter Milan mwiiishooo kainua
Ila ukiangalia mkeka kuna wajinga wameurarua mapemaaaaa
Mkuu ukiona natuma matokeo ya mkeka ulioshinda hapa basi ujue Niliupost kwanza hapa. Siwezi post matokeo ya mkeka ambao sikupost. Kuhusu kupost Mkeka Wa betpawa na Sportybet, betpawa na Sportybet hawana MASOKO ambayo yapo kwenye PariPesa.Mkuu uwe unatuma hivi kabla ya mkeka kutiki iii tuone machaguo yako, sie wenye sportbety na betpawa tufate.
Hatuwezi wote kuwa paripesa
Namaanisha upost hintsMkuu ukiona natuma matokeo ya mkeka ulioshinda hapa basi ujue Niliupost kwanza hapa. Siwezi post matokeo ya mkeka ambao sikupost. Kuhusu kupost Mkeka Wa betpawa na Sportybet, betpawa na Sportybet hawana MASOKO ambayo yapo kwenye PariPesa.
Mechi ngumu hyo , fernabache yupo vizur afu Yuko home sio rahisi kupoteza afu man u Huwa wanasuasua hawana matokeo ya kueleweka Yani hawatabirikiMan u apa anatoa au nikimbie tuuView attachment 3133954
OkayNamaanisha upost hints
Mfano
Liver vs atalanta - GG au over 2.5
Wale low stake humu tuuuuuu
A413GMD betpawa
We jama ushauri wako niliufata nilikua nimetia laki cash out ikasoma tisini, nikaitia yote kwenye zilizokua live liverpool ,barca , city ,feeyenod alooo nikamchapa mhindiCash out kabla haijafungwa
Maana hana Corner hata Moja wenzie ana Corner 5
Mwenzie ana totally Shorts 14 yeye ana 3 tu
Mpira una dunda ila Inter analinda Sana
Sema uzoeafu wa Inter Milan ndio unaweza kuibeba
Au subiria Dk 15 za kipindi cha kwanza uone uelekeo ila CASHOUT itashuka,na akipigwa NDIO kabisaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ufupi CASHOUT uwe salama maana inter yupo away,akifungua Sawa ila sometimes Linda mtaji wako
Cash out utanishukuruMan u apa anatoa au nikimbie tuuView attachment 3133954
Toa mkuuMan u apa anatoa au nikimbie tuuView attachment 3133954
👏👏👏👏👏🤣🤣🤣🤣We jama ushauri wako niliufata nilikua nimetia laki cash out ikasoma tisini, nikaitia yote kwenye zilizokua live liverpool ,barca , city ,feeyenod alooo nikamchapa mhindi View attachment 3134011