Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu uwe unatuma hivi kabla ya mkeka kutiki iii tuone machaguo yako, sie wenye sportbety na betpawa tufate.

Hatuwezi wote kuwa paripesa
Mkuu ukiona natuma matokeo ya mkeka ulioshinda hapa basi ujue Niliupost kwanza hapa. Siwezi post matokeo ya mkeka ambao sikupost. Kuhusu kupost Mkeka Wa betpawa na Sportybet, betpawa na Sportybet hawana MASOKO ambayo yapo kwenye PariPesa.
 
psg, juve, atalanta.......
hawa watu wamenifanya kitu mbaya!

kwa mara ya kwanza wiki ya uefa naondoka patupu, maajabu
 
Mkuu ukiona natuma matokeo ya mkeka ulioshinda hapa basi ujue Niliupost kwanza hapa. Siwezi post matokeo ya mkeka ambao sikupost. Kuhusu kupost Mkeka Wa betpawa na Sportybet, betpawa na Sportybet hawana MASOKO ambayo yapo kwenye PariPesa.
Namaanisha upost hints

Mfano
Liver vs atalanta - GG au over 2.5
 
Man u apa anatoa au nikimbie tuu
Screenshot_20241024-095745.jpg
 
-m8ba9s.jpg

LUNCH TICKET, CHINA BASKETBALL 🏀

Code: NETE7

Bet PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Jisajili Hapa 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Wakati Wa Kujisajili Upate Bonus Ya Mpaka TZS 300,000.
 
Cash out kabla haijafungwa

Maana hana Corner hata Moja wenzie ana Corner 5

Mwenzie ana totally Shorts 14 yeye ana 3 tu

Mpira una dunda ila Inter analinda Sana
Sema uzoeafu wa Inter Milan ndio unaweza kuibeba

Au subiria Dk 15 za kipindi cha kwanza uone uelekeo ila CASHOUT itashuka,na akipigwa NDIO kabisaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ufupi CASHOUT uwe salama maana inter yupo away,akifungua Sawa ila sometimes Linda mtaji wako
We jama ushauri wako niliufata nilikua nimetia laki cash out ikasoma tisini, nikaitia yote kwenye zilizokua live liverpool ,barca , city ,feeyenod alooo nikamchapa mhindi
Screenshot_20241024-115114.jpg
 
Back
Top Bottom