Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Mechi ya Getafe vs Valencia over 1.5 Ina point 1.72 [emoji91] sio poa sijawahi ona over 1.5 Ina odd kubwa hivi Kuna kipi nyuma ya pazia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ya Getafe vs Valencia over 1.5 Ina point 1.72 [emoji91] sio poa sijawahi ona over 1.5 Ina odd kubwa hivi Kuna kipi nyuma ya pazia?
🤣🤣🤣🤣🤣Mechi ya Getafe vs Valencia over 1.5 Ina point 1.72 [emoji91] sio poa sijawahi ona over 1.5 Ina odd kubwa hivi Kuna kipi nyuma ya pazia?
Katika game Tano zilizopota za ugenini za Valencia kafunga jumla ya goli 2 tuu, ko unshort Valencia sio mfungaji then Getafe game tatu za nyumbani katika 0-0Mechi ya Getafe vs Valencia over 1.5 Ina point 1.72 [emoji91] sio poa sijawahi ona over 1.5 Ina odd kubwa hivi Kuna kipi nyuma ya pazia?
Kifupi: mechi za Spain nje ya Madrid na Barca huwa hazitoi sana magoliMechi ya Getafe vs Valencia over 1.5 Ina point 1.72 [emoji91] sio poa sijawahi ona over 1.5 Ina odd kubwa hivi Kuna kipi nyuma ya pazia?
View attachment 3136453
Weka nyumba, weka mke, weka na watoto.
Ndibettingo hiyoMdau kutoka twitterView attachment 3136349
Mpe pole mkuu sio poaMdau kutoka twitter
Huo mkeka nimeusuka mwenyewe mkuu.Usikute wale wahuni wamekulaghai na possible,
Wenyewe wanaziita Sure Odds
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Game ya AZ Alkaamar umeipa kila kipind yapatikane magoli mawili au zaidi - ngumu sana hiyo
Hapo lugha imekuchanganya mkuu. Hiyo ni over 1.5 full time. Si unaona odds zenyewe hata 1.2 haijafikaUsikute wale wahuni wamekulaghai na possible,
Wenyewe wanaziita Sure Odds
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Game ya AZ Alkaamar umeipa kila kipind yapatikane magoli mawili au zaidi - ngumu sana hiyo
Over 1.15 ina odds 1.16 halafu utashangaa wanashindwa kutoa si utapeli huu!Odds ndogo
Chini ya 1.20 sibeti
Kabisa kakaMkuu bet ngumu aisee,Leo nayo siku
HayaKifupi: mechi za Spain nje ya Madrid na Barca huwa hazitoi sana magoli
Hapa teyar kwisha kaz gemu ya kwanza tuSPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET
ODDS: 20
CODE:- C4FFAD
Nickname: KAZI iendeleeee
View attachment 3136352
MAMELOD kauwaHapa teyar kwisha kaz gemu ya kwanza tu
Jana ndio nimegunduq hilo lkn siku ukiweka hivo kuna mjinga mmoja tu atachanaHizo timu weka kona au yellow kadi