Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
League ya Spain mara nyingi huwa inafika,Kuna siku ikifika 1.82

Vibonde watupu,wape tu over 1.5 mara kibao huwa inatoa[emoji95][emoji95][emoji95]

Mie hii Mechi nimeipa Corners over 6.5
Hizo over 6.5 mbona kwangu nazikosa au inabdi kuwahi hata masaa 10 kabla ya gemu
 
Katika game Tano zilizopota za ugenini za Valencia kafunga jumla ya goli 2 tuu, ko unshort Valencia sio mfungaji then Getafe game tatu za nyumbani katika 0-0
So muhindi sio zoba kakaa kiujanja ujanja sana
Hii nimeweka 1H under 2.5
 
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET

ODDS: 9

CODE:- 2544C73

Nickname: ROSE MUHANDO

Screenshot_20241027-180806.png
 
Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option.
20241027_071228.jpeg
 
Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
Sio first half GG second half NG na 2 goals au acha wanaojua waeleweshe vizuri ila inaonekana ni option ngumu sana angalia hata odds zake
 
Sio first half GG second half NG na 2 goals au acha wanaojua waeleweshe vizuri ila inaonekana ni option ngumu sana angalia hata odds zake
Nadhani sio hivyo , maana Chelsea First half GG imetoa na second ni NG,
 
Ngumu ndio ila huwa zinatoa. Na si kwa 1st Half, kama ingekuwa hivyo basi wangeandika. Hiyo ni kwa jumla vipindi vyote, ipatikane GG na magoli zaidi ya mawili. Mimi ndio nilivyo ielewa hivyo hiyo option kama kuna anae elewa zaidi na tofauti atolee ufafanuzi tafadhali.
Sio first half GG second half NG na 2 goals au acha wanaojua waeleweshe vizuri ila inaonekana ni option ngumu sana angalia hata odds zake
 
Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
Wafungane ila kila mmoja apate goli kuanzia 2, Mfano uyo west ham vs Man Untd hyo game ilitakiw kutoa kuanzia 2:2 na kuendelea
 
Back
Top Bottom