MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Wakuu jana na leo pesa hakuna, tuendeleeni tu kumwagilia moyo kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata usihangaikeMAMELODIiiiiiiiiiiiii
Aisee kasepa na mikeka yangu yote
Nasuka upyaaaa mwingine mmoja wa 10. ODDS
Hizo over 6.5 mbona kwangu nazikosa au inabdi kuwahi hata masaa 10 kabla ya gemu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
League ya Spain mara nyingi huwa inafika,Kuna siku ikifika 1.82
Vibonde watupu,wape tu over 1.5 mara kibao huwa inatoa[emoji95][emoji95][emoji95]
Mie hii Mechi nimeipa Corners over 6.5
Hii nimeweka 1H under 2.5Katika game Tano zilizopota za ugenini za Valencia kafunga jumla ya goli 2 tuu, ko unshort Valencia sio mfungaji then Getafe game tatu za nyumbani katika 0-0
So muhindi sio zoba kakaa kiujanja ujanja sana
Namimi ningemuweka ila sikumuonaMAMELOD kauwa
Usipende kurudia timu kwenye mikeka hata uwe unaiamini aje, bora kubadilisha option kwa kila mkekaMAMELODIiiiiiiiiiiiii
Aisee kasepa na mikeka yangu yote
Nasuka upyaaaa mwingine mmoja wa 10. ODDS
Hicho NDIO kinacho tufanya tuwe humu MdauHata usihangaike
huyu fala nilimpa dc, kakwangua mtaji wangu wote,.....Mamelodi ata goli moja hamna
Wazee wa odds kichuguu stake mlima 🤣huyu fala nilimpa dc, kakwangua mtaji wangu wote,.....
rasmi naanza upya!
Sio first half GG second half NG na 2 goals au acha wanaojua waeleweshe vizuri ila inaonekana ni option ngumu sana angalia hata odds zakeWakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
Nadhani sio hivyo , maana Chelsea First half GG imetoa na second ni NG,Sio first half GG second half NG na 2 goals au acha wanaojua waeleweshe vizuri ila inaonekana ni option ngumu sana angalia hata odds zake
Sio first half GG second half NG na 2 goals au acha wanaojua waeleweshe vizuri ila inaonekana ni option ngumu sana angalia hata odds zake
Wafungane ila kila mmoja apate goli kuanzia 2, Mfano uyo west ham vs Man Untd hyo game ilitakiw kutoa kuanzia 2:2 na kuendeleaWakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605