Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi ya Getafe vs Valencia over 1.5 Ina point 1.72 [emoji91] sio poa sijawahi ona over 1.5 Ina odd kubwa hivi Kuna kipi nyuma ya pazia?
🤣🤣🤣🤣🤣
League ya Spain mara nyingi huwa inafika,Kuna siku ikifika 1.82

Vibonde watupu,wape tu over 1.5 mara kibao huwa inatoa💥💥💥

Mie hii Mechi nimeipa Corners over 6.5
 
Mechi ya Getafe vs Valencia over 1.5 Ina point 1.72 [emoji91] sio poa sijawahi ona over 1.5 Ina odd kubwa hivi Kuna kipi nyuma ya pazia?
Katika game Tano zilizopota za ugenini za Valencia kafunga jumla ya goli 2 tuu, ko unshort Valencia sio mfungaji then Getafe game tatu za nyumbani katika 0-0
So muhindi sio zoba kakaa kiujanja ujanja sana
 
Tusikate tamaa wadau.
Ipo siku Tutamkula Mhindi vizur tu.

Wale wa Sportybet
Option ya kunyima timu isifunge 3 goals in a row
Au 1 Half - GG/NG - iwe NO.
Au 1 Half - 1.5+ Goals - Under

Ni nzur sana jaribun kutupia.
 
Usikute wale wahuni wamekulaghai na possible,
Wenyewe wanaziita Sure Odds
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Game ya AZ Alkaamar umeipa kila kipind yapatikane magoli mawili au zaidi - ngumu sana hiyo
Huo mkeka nimeusuka mwenyewe mkuu.
Hakuna sure odds kwenye betting nalijua hilo.
Halafu haujui betting bila shaka au umechanganya madesa, al kamaar hapo ni magoli 2+ full time
 
Usikute wale wahuni wamekulaghai na possible,
Wenyewe wanaziita Sure Odds
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Game ya AZ Alkaamar umeipa kila kipind yapatikane magoli mawili au zaidi - ngumu sana hiyo
Hapo lugha imekuchanganya mkuu. Hiyo ni over 1.5 full time. Si unaona odds zenyewe hata 1.2 haijafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…