Wafungane ila kila mmoja apate goli kuanzia 2, Mfano uyo west ham vs Man Untd hyo game ilitakiw kutoa kuanzia 2:2 na kuendelea
Hii maana yake both team zifungane na kila team ipate magoli kuanzia mawili na kuendelea mfano 2:2,,3:4,,5:2,,2:3Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
aisee natakiwa kubadili mbinu maana hii imefeli sasa......Wazee wa odds kichuguu stake mlima [emoji1787]
Kula chuma iko dadeki
hapo ina maana kila timu itoe 2+,Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
si unaona hiyo gg ya arsenal na liver?Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
inter na juve, under yoyote iko hatarini
1st half 3:2[emoji4][emoji4]inter ashinde direct
Mkuu piga Moyo kondeView attachment 3136673je tutawin kweli hawa ndo waliobaki?
MREJESHO!!!
Hongera kwa mliofuata, Kama uliweka mke bila shaka una wake wawili sasa hivi, enjoi maisha.View attachment 3136453
Weka nyumba, weka mke, weka na watoto.
Ukiweka GG bila hiyo mbili mkeka umewini. Lakini ukiweka GG2+ maana yake wafungane na Kila timu ipate magoli 2 au zaidi yaani 2 3,2 2,5 2 nk.Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
Hamia SPORTYBET, uwe unaweka option ya "2up", hutapata stress za comeback kama hiyo kamwe.MREJESHO!!!
Wakuu naomba tumpe tusi moja Inter kwa kashindwa kumlinda ushindi wake.... Ku** la ma** zao Intermilano
wakamalia et hii option inamaana gan GG/NG2
GG/NG 2+ Ukichagua YES maana yake timu zifungane na zote zipate kuanzia magoli mawili kila mmoja mfano 2:2, 3: 4 2:3 etc. Ukichagua NO ni kinyume chake mechi iishe 1:0 1; 1 ,2:1, 0:0 etcwakamalia et hii option inamaana gan GG/NG2+
Kama option huelew acha, GG2+ manake timu ZOTE zifunge goli 2 na kuendelea, we hukuona ata odds ni kubwa au ulijikuta mjanja😂🙌 , inatakiwa iwe mfano 2-2,3-2,4-2 nk Kila timu ifunge goli 2 📌Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option
Ili uwin ilitakiwa timu zitoe GG lakini kwa kila timu kupata goli 2 na kuendelea,sasa hapo Newcastle ndio kaharibu katoa goli 1 tuWakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605