Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
Hii maana yake both team zifungane na kila team ipate magoli kuanzia mawili na kuendelea mfano 2:2,,3:4,,5:2,,2:3
 
Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
hapo ina maana kila timu itoe 2+,

hii ni tofauti na gg ya kawaida am ambayo ilikua na odds less than 2!
 
Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
si unaona hiyo gg ya arsenal na liver?
hapo btts ilikua na odds chini ya 1.8, lakini wewe hapo kuna 5+
 
Screenshot_20241027-205445.png
je tutawin kweli hawa ndo waliobaki?
 
Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
Ukiweka GG bila hiyo mbili mkeka umewini. Lakini ukiweka GG2+ maana yake wafungane na Kila timu ipate magoli 2 au zaidi yaani 2 3,2 2,5 2 nk.
 
Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
Kama option huelew acha, GG2+ manake timu ZOTE zifunge goli 2 na kuendelea, we hukuona ata odds ni kubwa au ulijikuta mjanja😂🙌 , inatakiwa iwe mfano 2-2,3-2,4-2 nk Kila timu ifunge goli 2 📌
 
Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option

Wakuu nimeweka hii option lakini cha ajabu mkeka umechanika. Option kwa namna nilivyo ielewa mimi ni ipatikane GG na zaidi ya magoli mawili inakuaje mkeka uchanike ama mimi ndio sijaelewa hiyo option. View attachment 3136605
Ili uwin ilitakiwa timu zitoe GG lakini kwa kila timu kupata goli 2 na kuendelea,sasa hapo Newcastle ndio kaharibu katoa goli 1 tu
 
Back
Top Bottom