Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ila humu kuna wtu mnajua aisee mambo yote yaliyotokea kuna watu waliyasema humu
Swala la mancity kuzingua na yanga kuhusu 1.5🙌🙌
 
Watu mnapakiwatu kiboya🤣🤣🤣🤣

Maana tunaingizana kingi sie kwa sie sasa🤣🤣🤣🤣🤣

UTAPELI na Usaniii wa FB mjinga mmoja anauleta humu pumbavvvvv

Na nyie maboya muwe na Akili ya kujitambua NDIO maana wenye akili wanamuacha ajitie VIDOLE mwenyewe kisha ajinuse mwenyewe
 
Shda unakuta mtu ni agent wa kampuni flan anakua anapost matangazo na codes af mtu ajisajili apo ndo kuingizana mjini kunaanzia yan mkeka utiki au usitiki mwenzio ana gawio lake
Kama vipi tutumiane codes tu za kumla mhindi maswala ya kudalaliana sisi kwa sis sio ishu wanangu
 
Utasababisha watu wasiwe wana post odds humu..maana kila mtu akiwa anapost mikeka ataonekana agent wa kanji...issue kubwa kwenye kila mikeka test huyo mtu anayetuma mikeka yake huwa inatick? Ifanyie research kwanza...
 
Wakuu salama?

Leo jamani mkimuangalia lazio anaweza kutoa Double chance au como atachana mkeka?
 
Kaka ule mkeka wako nliedit mechi kadhaa nikaongeza zangu umetki ,bless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…