Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mtu anaitwa Victoria Plzen yupo Czech republic amepigwa 1-0 ila kwa hand cup nikampa 1+ kwaiyo 1-1 zao😪
 
wekahela
FC Séville - Real Sociedad

Tip : over 2,5 total goals

Odd : 2,50
 
Wacha niwape option hii; first ten minutes draw . Dk zako kumi tu za mwanzo unabana pumbu 😂 wacheze draw. NB: atakuja mtu atasema dk ya kwanza tu chumaaa😂 , ndo hivyo hakuna option isiyochana ni kujaribu tu . Jana na Leo nmekula Kwa hyo option,mfano gemu ya liver , city na arsenal Jana nmekula afu Zina odds nzuri . Pia hii option nzuri sana Kwa ligi zile ngumu kutoa magoli mfano Italy Spain france
 
Wakati unasema haya Brentford anakuchekaa ahahahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…