Wazee wa kuweka mizigo ivi kuna ukweli kwamba kuna baadhi ya makampuni mtu unakua huna bahati nayo hata ubeti mara mia huli na kuna makampuni unakua na kismat nayo ukiweka tu imoo. Wazoefu naomba ufafanuzi
Ukitaka kujua hilo
Tafuta kampuni ambayo ilitoa winning kwa
YOUNG AFRICANS
Manchester City
Arsenal
Ukikuta kuna kampuni imewapa ushindi tustue Wana tunakuja Fastaa
Ila kama hakuna,ujue tayari Ugonjwa wa VIPIGOPHOBIA SYMBIOTIC DISEASE unakunyemelea
Dalili zake:-
-Kuchukia wote unaowapenda
-Kukunja uso kila ukisikia kipindi cha Michezo radioni
-Kukaa options za betting ulizokuwa unazisifia na kuziamini
-Kutokujikubali hata wewe mwenyewe
-Kuongezeka kwa kukasirika kila ukiona mkeka wa mwenzio ume tick
-Kupenda kujitenga na kukaa maeneo ya Barbara kuu huku ukiwaza ipo siku ilo gari linalopita na hilo Ghorofa unaloliona lotakuwa LAKO,wakati hata Soda hunywi
USHAURI:-
SPORTYBET NDIO habari ya mjini
BETPAWA NDIO Rafiki wa Mjini
Muhim ni kukubali lolote lile,maana Betting tunacheza wakati hata MPIRA haijachezwa ni tafsiri kwamba hakuna pesa Rahisi kuipata
Amini ipo siku itatoboa,,muhim utulivu,na Tenga muda wa kufanyakazi na kuamini Kazi Yako NDIO itakutoa kimaisha,then betting iwe ni kiongezo cha Burudani yenye ndoto.Dont spend much of your time kwenye kufikiria Mikeka.
Wengi wenye kutoboa pesa ndefu huwa wanafanya kama mas,hara mara mtu paaaaa kapasua
Ishi Katika kampuni unayoiamini
Kuna Jamaa kitaa hapa kila mtu anajua anaBET,yaani kila kitu kauza.
Na Kuna mshkaji mtaani mkinyaaa,kumbe anaBET kampiga mwaka Jana Kanji 37 Milions,fastaa kanunua Bajaji 2,ana ameanza ujenzi wa Nyumba
Muhim subraa
Kazi iendeleee