Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wa kuweka mizigo ivi kuna ukweli kwamba kuna baadhi ya makampuni mtu unakua huna bahati nayo hata ubeti mara mia huli na kuna makampuni unakua na kismat nayo ukiweka tu imoo. Wazoefu naomba ufafanuzi
Mimi meridian na sportbet lost kama zote ila sportpesa nna upepo napo sema hakuna options za kutosha
 
Siku zikikubali utafikiria playstation

Ila siku zikigoma

Hapa Button ya Mechi za Saa 5 ipo mkononi kwa Cashout
Maana najua kuna chizi mmoja mkubwa lazima atafanya masnema tu

 
Madrid utani utani hivi hivi hadi dk ya 90 utashangaa ubao unasoma 0 - 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…