Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting unastake 5500 unau-post na kuu-post kabisa,acha uoga,weka pesa ya maana upige pesa ya maana,hapo ungeweka 100,000 ungekuwa na faida 70,000 kabisa
Always stake what you can afford to lose mkuu

Unapostake mkeka matokeo ya kawaida kabisa kutokea ambayo hayashangazi huwa ni LOST

Siku zote mkamalia huwa anaipa kipaumbele bet yake kwenye lost kabla haja stake.
Ingekuwa WIN ndio matokeo obviously hakuna kampuni ya betting ingefanya kazi

STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE
 
Kuna siku betwinner nimebetia franc kessie asifunge goal, aiseee si jamaa akapewa penalty uzuri ni kuwa alimiss[emoji3][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kuna muda unaweza jisemea jamaa wanakuangalia ili uweke tu nakama una moyo mwepesi utajiona una gundu balaa kumbe ni betting tu
 
Naomba mwenye namba za mawakala Hawa wa 1xbet

robert mhode

lucas sigalla

etoo
 
Kuna siku betwinner nimebetia franc kessie asifunge goal, aiseee si jamaa akapewa penalty uzuri ni kuwa alimiss[emoji3][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kuna muda ukibeti hadi unahisi wewe tu ndio unatafutwa. Unaweka over zinatoka under na vise verse.
Game imechezwa dakika 81 bila goli, ile ukiamua kubeti kwa kuweka under unaona na goli hilo linaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…