Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kona ilinichaniaga sikuaminiUkitaka kujua options zote ni ngumu hebu weka stake angalau kuanzia 100k....... hadi own goal hautaiamini 😂😂
Always stake what you can afford to lose mkuuBetting unastake 5500 unau-post na kuu-post kabisa,acha uoga,weka pesa ya maana upige pesa ya maana,hapo ungeweka 100,000 ungekuwa na faida 70,000 kabisa
Kuna muda unaweza jisemea jamaa wanakuangalia ili uweke tu nakama una moyo mwepesi utajiona una gundu balaa kumbe ni betting tuKuna siku betwinner nimebetia franc kessie asifunge goal, aiseee si jamaa akapewa penalty uzuri ni kuwa alimiss[emoji3][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Jana pia liver vs bayern nikajua hawa kwa mpira wao hawawezi kosa over 7.5 kona .Kona ilinichaniaga sikuamini
Kabisa mkuuKuna muda unaweza jisemea jamaa wanakuangalia ili uweke tu nakama una moyo mwepesi utajiona una gundu balaa kumbe ni betting tu
Kuna muda ukibeti hadi unahisi wewe tu ndio unatafutwa. Unaweka over zinatoka under na vise verse.Kuna siku betwinner nimebetia franc kessie asifunge goal, aiseee si jamaa akapewa penalty uzuri ni kuwa alimiss[emoji3][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ingia uwanjani mzee 😂 ila betting inafanya tuzitukane timu 😂 tunajipangia matokeo afu tunafokaAston villa machoko sana yaani simba kashinda, besiktas kashinda yamebaki yenyewe na yako nyuma 1-0
ngoja nimpe ila hashindiAston villa ana odds ya 12 uko wakujibutua