Yanga unalaza watu huku na viatuKaribuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Tabora alikua na odd 27.06 dah
Tabora alikua na odd 27.06 dah
Dah utajir huukabisa
Kama umemuekea ata laki moja ulikuwa unaondoka milion kumi plus kibindoniTabora alikua na odd 27.06 dah
Kipengele ni hiyo laki ikipigwa π€Kama umemuekea ata laki moja ulikuwa unaondoka milion kumi plus kibindoni
Kampuni gani hiyoπAlikuwa na odds 40
mkuu uliishia la nne C au?Kama umemuekea ata laki moja ulikuwa unaondoka milion kumi plus kibindoni