Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Option angalau yenye odds za kiridhisha kwenye mechi ya yanga ilikuwa ni hii.
Hizo nyingine ilikuwa mtego.
Screenshot_20241107-185627_Megapari.jpg
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Yanga unalaza watu huku na viatu
 
Mie Shabiki wa YOUNG AFRICANS

Mechi niliipa overall 2.5

Nilishangilia sana Tabora kuanza kupata Goal, nikajua Young Africans atakuja na comeback ya Goal 2,aisee chuma cha pili sura ikawa Nusu kucheka Nusu kulia ,nilipoona hakuna dalili nikaomba lolote liwe,chupa ya 3👏👏👏🤣🤣

PESA kwanza Ushabiki baadae, maana wachezaji kenge wale wao wanalipwa

Screenshot_20241107-203831.png
 
Back
Top Bottom