Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwaka Jana Nilisema kutobet ligi ya epl, sasa ona yaliyonikuta, mwaka mitatu nimepigwa yote. Kwanzia leo sibet tena EPL
 
Wabongo noma.Haya ndiyo mnayowaza!Finito.Why don't you feed your brains with substance Yaani wamewamaliza kabisa.It's a pity.
Jua tunalipa kodi huyo baba yako huo mshara anaolipwa Na serikali jua kodi zetu zinachangia wewe unaenda chooni hizi ni kazi kama kazi nyingine bunge limepitisha Sheria rasmi tuko hapa kwa kufuata Sheria za jamuhuri ya muungano Wa Tanzania na ni moja ya walipa kodi Wa serikali hiii kama watanzania wapenda maendeleo endelea Na ujinga wako ukikua utajua nini maana ya kutafuta maisha sasa najua ugali Wa shikamoo una kuchanganya
 
all the best chief
 
hawa meridian ni QUMER kabisa. jana nimepigwa ngwara, leo najitahidi kujizoazoa halafu wao wananiletea USENGErema wao. huu mchezo hauhitaji HASIRA.

 
Mimi jana katika timu kumi na 1 nakosea timu 1 kwa mchezo wa Double chance , Ilaaniwe sana West bromwich albion!
mkuu wewe acha tu. huu mchezo unahitaji uvumilivu wa kutosha. sijaelewa hadi leo kwa nini Ajax wamefungwa nyumbani na kibonde na kuniharibia mkeka wa pesa nyingi.
 
Mimi jana katika timu kumi na 1 nakosea timu 1 kwa mchezo wa Double chance , Ilaaniwe sana West bromwich albion!
Huyu naye kaniaribia Na Mimi yeye Na liver Na Ajax alafu kila MTU kachana mkeka wake
 
mkuu wewe acha tu. huu mchezo unahitaji uvumilivu wa kutosha. sijaelewa hadi leo kwa nini Ajax wamefungwa nyumbani na kibonde na kuniharibia mkeka wa pesa nyingi.
Mkuu Mimi Ajax liver Na West Bromwich Albion wamenichania mikeka ya ela nyingi alafu kila MTU mkeka wake
 
Mhindi bana ..juzi nimeangalia mechi zote za ligi kubwa zenye chaguo la kona ... Ni mechi mbili tu yaan city na Lyon ndio zilivuka konda 12.... Nkaona ngoja niwape leo ligi kuwa mechi chache konda under 12.5.... Timu 16 NNE zimegoma tena ZIMEGOMEA KICHWANI NGWEEEEE
Dallas kona 13
Sporting Kansas 13
Angers 13
Toronto 13...
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-21-09-01-10.png
    53.6 KB · Views: 45
Huu mchezo ni wa ajabu sana mkuu. Ndio maana hasira haihitajiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…