Eeh nenda mtandao wa Twitter sahivi X ukajionee tu huko mwanetu kwani imekuwaje Tena,Naombeni mnipe link ya video za balthazar engonga nikapozee machungu wanangu
Ilirudi kabisa Kiongozi ya kwamba pesa imeenda na ilishakatwaMeseji ya mtandao wa SIM ilirudi?
Malipo yamekamilika kwenda Selcom Pay, Kiasi Tsh7,500. Salio jipya ni Tsh 12,466. Ada Tsh 450. VAT TSh 69. Kumbukumbu no.680226546249. 09/11/24 14:39.Meseji ya mtandao wa SIM ilirudi?
Meseji ya mtandao wa SIM ilirudi?
Chat nao uwape hiyo meseji wana namna ya ku confirm kutoka tigo na kisha wanapakia mzigoSelcom Pay
1XBET
Merchant# 63807481
TZS 7,500.00
TransID 680226546249
Ref 9917989570
Channel Tigo Pesa
From 2557177144**
09/11/2024 2:41:20 PM
---
Remarks
wttzs96940847
Nahisi zilipanda walipogundua yamal hacheziBarcelona ODDS zilivyopandishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe tulikuwa tunavutwa shati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kubetia timu, huko kwenye kindege Hatari sana ni dk Moja tu unaskia shwaaaa, Bora kwenye kubetia timu Kuna cash outWakuu,najua hakuna betting yenye uhakika. Naomba wazoefu waniambie ipi rahisi kumkwangua Kanji kati ya Aviator na kubetia timu
Nilipoona first eleven na lamine hayupo hata benchi nikatamani ni Cash out nipate hata hiyo 75k lakini pepo la sportybet likanikataza dahBarcelona ODDS zilivyopandishwa🤣🤣🤣 kumbe tulikuwa tunavutwa shati🤣🤣🤣🤣
Kuwa makini hata siku moja usiweke pesa nyingi ukafata mikeka ya Hawa agents wa kampuni za kirusi. Huwa wanatumia demo account, ndio maana unaona wanaweka tu mikeka ya laki 5, laki 8, milioni n.kMkuu nilikua sijalijua hili
Huyu huyu mbiga akanijaza king nikafungua acc Paripesa nikadeposit 70k
Ilichukua wiki 3 hela kufika kwenye acc
Nikacheza ikafika 370k, nilipotaka kutoa nikakuta njia ya Halotel niliyowekea hela haipo na masharti yao eti ni lazima utoe kwa njia uliyowekea tu
Nimevurugana nao mwezi mzima sijapata hata sh1
Nikataka kuwashitaki bodi ya kamari nikaambiwa hao ni wahuni hawana kibali na bodi haiwezi ku control kila kitu kwenye internet
Nikashauriwa kuwa makini na matapeli
Kampuni za kirusi ni nzuri zina markets nzuri sana kuliko SPORTYBET, na limit ya ushindi ni kubwa mno(over mil 500) , sportbet mwisho ni mil 90Naona watu mnahangaika sana na izo Kampuni za Kubeti as if hamuioni au hamuijui SPORTY BET, Mtalizwa mpaka mnyooke.!!
Nawakumbushaga sana watu usiweke mkeka kwa kufuata hawa agents wa kampuni za kirusi sababu wanatumia demo account. Utaona kaweka milion mtu nae anafata bila kujua mwenzie ile sio pesa ya kweli ni mfano tuMkuu tutaingizwa sana mkenge na huyo wakala wa Paripesa anaye wahadaa hapa jukwaani kwa Demo acc anastake malaki kwa mamilioni
Kitu pekee cha kweli anacho post ni mikeka yake
Lakini anatumia DEMO ACC
Paripesa ni MAJAMBAZI
Hawana kibali cha Bodi kufanya kazi Tz, hawana ofisi na njia wanazotumia kuweka hela ni za ujanja ndio maana kutoa na kuweka ni Mtihani kweli kweli
Kuna wahuni wachache kama huyo anayepiga promo humu ndani wanapata gawio kwa kila mteja atakeye jiunga na kupigwa hela zake
Hao una chat nao ni wahuni tu labda utakuta anakujibu yupo zake kitambaa cheupe analewa tu na kuvuta shisha kwa hela za wakamalia wao hangaika labda watabahatisha