Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mnang'ang'ania 1Xbet ya nini wakati ipo melbet na BETWINNER yote ni Yale yale
Mkuu 1xbet ukitumia wakala wa kuaminika haina shida yoyote

Tatizo lipo pale unapo deposit hizi kampuni za Mrusi kupitia online mobile payments
ww ndio umenijb vyema sasa,hv hizo limit stake atakuj kutoaga au ndio imeisha hiyo
Mkuu nadhani vipigo vya kwenye live bet ndio vimemfanya alimit hiyo stake

Kuna wamba wanajua kweli kuvizia live bet anatia mzigo wa maana kwa odd 1.2 - 1.5
Mrusi akaona isiwe kesi dawa ni kulimit stake tu

Kwa stake ya 28,700 ukiweka odd 1.5 itakua unacheza tu kwa mtu aliyezoe kuweka 500k hadi 5m

Sidhani kama wataitoa labda watapandisha kidogo tu stake
 
mm ni mzee wa live wamenilimit 2800 saiv kucheza pre game naona tabu saan yan nilishazoea kuzungusha naona km maisha yatazid kuw tight kinoma...sijui lin watarudisha stake kawaida
 
Mimi nikicheza live bet nalost sana mnategaje wakuu, game ikishaanza au ikiwa inakaribia kumalizika
 
Kampuni ya mrusi yenye Afadhali kwangu ni Megapari tuu,kuweka na kutoa ni fasta sana japo ni wakala lakini yuko automatic haina haja ya kuchat naye,Hizi zingine niliona takataka tuu unaweka hela haifiki mara unatoa haifiki kwa wakati.
Mkuu naomba utaratibu na contact ya wakala wa Megapari

Nina wakala wa 1xbet msumbufu sana kuweka na kutoa
 
Mkuu naomba utaratibu na contact ya wakala wa Megapari

Nina wakala wa 1xbet msumbufu sana kuweka na kutoa
kuna liwakala flan hv lisenge zaman alikuwaga mwenyw baadae akavieka vijana wake wasenge kmmk unadeposit vyenywe vinaeka kwa muda wa kijisikia wao alaf vinamajib kmmk utafkr vinafny bank nikaachana nao badae nikaja kusikia memba wa group lake anawachangisha mchango km hutak unatolewa...kuna baadh ya mawaka wako vzr sana saiv namtumia jamaa mmoja hv kiukwel anajitahid sana kueka na kutoa
 
Mkuu naanzia wapi nataks nijaribu huko, betting inanizeesha bila faifa
 
ODD: 2.78
CODE: 6AB9FE
LINK
Kujisajiki na 1x bet tumia link http://bit.ly/3Pxdrau
Promo code jaza : MBACHOPHD

Kwa swali lolote, nicheki hapa 👉 @mbachophd96

Good luck 🫂
 
Attachments

  • Screenshot_20241112-195730-01.jpeg
    65.1 KB · Views: 3
Mkuu naomba utaratibu na contact ya wakala wa Megapari

Nina wakala wa 1xbet msumbufu sana kuweka na kutoa
Mkuu haina haja ya namba ya wakala we download app ya megapari ukitaka kudeposit utaona utaratibu humo humo uko wazi
 
Mimi nikicheza live bet nalost sana mnategaje wakuu, game ikishaanza au ikiwa inakaribia kumalizika
Live bet ni ya kuotea tu haina kanuni. Mimi kuna muda naombaga goli 1H dakika ya 36 au dakika ya 85 2H na inatoa vizuri tu.
 
Mkuu naomba utaratibu na contact ya wakala wa Megapari

Nina wakala wa 1xbet msumbufu sana kuweka na kutoa
Wakala msumbufu wa 1xbet ni nani? Megapari haina wakala, unatuma tu pesa kuna namba wameweka kulingana na mtandao wako kisha unakopi namba ya muamala unaenda kupaste kwenye sehemu ya kudeposit kisha unamaliza, baada ya dakika inasoma kwenye akaunti.
Kampuni ya mrusi yenye wakala kama 1xbet na ambayo haina kodi ni 888starz.
Melbet ni wazuri wako fasta, shida kama una kaupepo kakuliwa wanakamua sana wakati wa kudeposit.
 
ODD: 2.18 kkkkkkkkbooooooommmmmmmmm

✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

Jisajili na 1x bet link http://bit.ly/3Pxdrau
Promo code jaza : MBACHOPHD

VICTORY! 🤑
 
Attachments

  • Screenshot_20241112-221607-01.jpeg
    106.3 KB · Views: 4
ODD: 2.90
CODE: 85753F1
LINK
Kujisajiki na 1x bet tumia link http://bit.ly/3Pxdrau
Promo code jaza : MBACHOPHD

Kwa swali lolote, nicheki hapa 👉 @mbachophd96

Good luck 🫂
 
Attachments

  • IMG_20241112_222922_911.jpg
    31.4 KB · Views: 5
ODD: 2.10
CODE: 2AC2C3F
LINK
Kujisajiki na 1x bet tumia link http://bit.ly/3Pxdrau
Promo code jaza : MBACHOPHD

Kwa swali lolote, nicheki hapa 👉 @mbachophd96

Good luck 🫂
 
Attachments

  • Screenshot_20241112-223237-01.jpeg
    54.9 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…