Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwanzo nlikuwa naweza but nilipo update simu tu kila kitu kikawa hovyo sijui sababu gani cz hata meridian mkeka ukiliwa haioneshi rangi nyekundu ni nyeusi tu bac
 
Imekubali mkuu, sory kwa huo mkeka nilikuwa najaribu kama itakubali
 
Kitendo cha mechi ya Westham kukosekana goli moja first half kimeninyima pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…