Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Na watoto wanampelekea motoMan u anataka kuharibu weekend
Huyu man uuuuu anaweza kutulaza na viatuYani man u na Madrid washinde wanipe hela
Kuna dalili ya kushinda kwa nyie mnaoangalia mechiHuyu man uuuuu anaweza kutulaza na viatu
Yaani si shetani si Mungu wote wamegoma kutenda muujizaView attachment 3160611
Hii borussia M ni ya madogo au wanawakeYaani si shetani si Mungu wote wamegoma kutenda muujizaView attachment 3160611
Wakubwa wa kiumeHii borussia M ni ya madogo au wanawake
🤣🤣🤣, mkuu manyumbu imekuwaje tena , ila nimecheka sanaa🤣🙌🏻Mimi na Manyumbu tena Basi.!!