Luigi Mangione
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 568
- 1,028
Angalia codes zote mkuuMkuu acha maneno yako πππ usije tuua kwa ugonjwa huo huo π mimi ni mekufautacode 4tu zamwanzo
Subiri nimpofowe Mrusi ππππJenga na fundi mahiri wa majengoView attachment 3166521View attachment 3166521
hamna wasukumaMbona kumepoa sana huku
Wamepigwa sana na muhindi wapo hoi wanaugulia kwanza.Mbona kumepoa sana huku
Mi nataka ni bet kupitia Bet pw, sijajua namna za kubet wakuu,msaadaSportybet
960582
Weekend njema mno hii.TUPUMZIKE WAKAMARIA WIKIEND HII SIYO NZURI TUKUBALI WAZEE
Mbona mnajenga ghorofa halina nguzo wala nondo za kisimamaJenga na fundi mahiri wa majengoView attachment 3166521View attachment 3166521
HahahaTUPUMZIKE WAKAMARIA WIKIEND HII SIYO NZURI TUKUBALI WAZEE
Kama una account betpawa we uwe unachukua code tu humu una copy una paste kwenye account yako, au wapi Tena ujaelewaMi nataka ni bet kupitia Bet pw, sijajua namna za kubet wakuu,msaada
Akaunti nimefungua leo mkuu, nipe madesa , Bet pawaKama una account betpawa we uwe unachukua code tu humu una copy una paste kwenye account yako, au wapi Tena ujaelewa
Asante sana kwa ushauri shida yao ndo hiyo ila tunawafata kwa ajili ya options ambazo hizi kampuni nyengine hawanaKampuni yoyote ambayo ni clone ya 1xbet ni MAJAMBAZI
22bet
Helabet
BetWinner
Megapari
Paripesa
888Staz
Hizi kampuni ukiachilia mbali usumbufu wa kuweka na kutoa lakini siku ukiwaotea parefu SAHAU kuhusu kulipwa hela zako
Ukisha ona unaanza kuambiwa tuma email kwenye security team kwaajili ya KYC ujue shughuli unayo.....
Usidanganyike na DEMO ACC za wapiga debe, wao wanapata chao ukijisajili na kuweka hela lakini yatakayo kukuta mbeleni utajua mwenyewe
So make sure kama unatumia hizi kampuni basi zitumie at your own risk
Hapo walisajiliwa Tz ni Betwinner na Helabet lakini hawawezi kufika mbali watafungiwa soon kama 22bet sababu ya ubabaifu na uhuni wao
Tafuta contact za Bodi uwasiliane nao kama ni Betwinner na Helabet
Hao wengine bodi haiwatambui