mkuu wa mipango Andybird huwa nakukubali sana huwa hukati tamaa
something is better than nothing my dude, tuko hapa ili kuwapiga mafisadi, iyo hela kwa leo inatosha sana, kaa kua mtazamaji, please....
Kakaaa ngoja nijilipue unavyosema
something is better than nothing my dude, tuko hapa ili kuwapiga mafisadi, iyo hela kwa leo inatosha sana, kaa kua mtazamaji, please....
mzee mwenzangu upo? Umepotea sana
Nipo mpwa natupi ila nataka niifanye bet kama kazi saivi
hahaha kweli kabisa zile za mwaka jana tulikua tunafanya tu ila sahv ishatambulika ni kazi.

Nimeona nikitulia mwezi mzima siwezi kosa 1200 $ sio haba
Hii ni kazi maana wamiliki wanafanya kama biashara
Iplay8 wanakata 6% kama tax kwa kila win bet. Mimi hii ni biashara kama zingine zote