huu ni arsenal tu kachana kwa 2up japo over 1.5 imetoaMainz GG or over 1.5 example (1-1)
Leicester GG or over 1.5
Florentina 2Up or over 1.5
Arsenal 2Up or over 1.5
lens 1x
Hapo unaenda kuanza week yako vyema
GOOD LUCK WINNER
Kweli aisee yani goli limekaceliwa noma sanaDah draw ile ilikuwa na 3 odds kweli uwoga wako ndio umaskini wako nimeliona hili leo
Una kituWape wafuatao washinde kona. Yaani wapate kona nyingi dhidi ya mpizani.
*Arsenal
*Chelsea
*Fiorentina
*Brighton
*Napol
Hapo ni zaid ya odd 8 na ni uhakika.
Yah lakini siyo kila timu kuipa magori kuna timu za kuzipa Direct wini Mfano Psv. Frynoord, Inter, Magori unazipa Ajax, Man city, Man u hizi zikicheza weka over lazima magori yatafungwa zaid ya mawiliDirect win ni hatari kwa afya magoli ni salama zaidi japo odds ni ndogo
Mbona wiki hii Betting ilikua rahisi kubashiri, tusikalili timu za England, Spaini na Italy kuna vitimu vya nchi ndogo vinatoa sana ukivibetia.Haya mlazee mgongoo kesho mkadeposit tenaa ila kama huamini umepigwaaa bhasi jimix tena..!
mkuu tumeamka na hela ya supu nzuri alafu haikua na stressUna kitu
Kumfumaster97 ulifata hiyo imetiki2MAX3J1 bp hapa check hapo edit
Bando liliisha mkuu nikachelewa kuweka nashukuru kwa kunipa mrejesho leo pia ni siku mapambano yanaendeleaKumfumaster97 ulifata hiyo imetiki
dau shingapi na ulikua unamla ngapiJANA NIMEMKOSA KANJI MECHI MBILI ZIMECHANA [emoji16]
basi wew unabahati mkuu na roho ngumuNilifanya maamuzi magumu ambayo sio ya kizalendo lakini yenye maslahi mapana na uchumi wangu kwa kuwaua Simba na Yanga
Nilitamani washinde lakini uhalisia niliona hela kwasababu hawana uwezo wa kushinda ugenini π