Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kabisa
 
Naona uzi unaendelea kutrend, sio weekend wala katikati ya wiki.
Ofisi ni popote mtu wangu tafuta utapataa, ofisi ni miguu yako zunguka piga kwataa eeeh , hatua Kwa hatua kaza mwendo, utakuja kutusua tatuu bila, wanga wakizingua watadisi mtaani bila kujua ..eeeeh ....
OFISI MIGUU YAKO - JUMA NATURE FT MANZESE CREW. ikukute popote ulipo ndugu msikilizaji kipindi ni chaguo la dj na abooooubakar Sadiq ... Kwa Fujo djaaaayyzzzzz .....
 
wewe jamaa na pariesa yenu ni wazinguaji nmejiunga jan nione utendaji wao nmeshinda pesa toka jana sa5 usk had sas pesa ipo approved,nasikia kaharufu cha utapeli hapa wazinguaj kisenge

🚫🚫 MSIDOWNLOAD PARIPESA NI🚫🚫❌❌ WAZINGUAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…