Mkuu hujawahi kukutana na Code za kuwapeleka miziki? Mtu anawaingiza shimoni halafu anaenda kuponda kwenye viti virefuWatu wa humu hawana wema..
Ukute yeye zile codes hata akuweka ujue
Kuwa makini...
Humu ndani kuna watu hawajiheshimu wanatoa code kumbe wenyewe hata hawa tumi
Mi cjajua vzr kuandaa so nachukuaga humu ama wakati mwingine najibonyezeaga tuHumu ndani kuna watu hawajiheshimu wanatoa code kumbe wenyewe hata hawa tumii
Sasa yeye anafaidika nini mimi napofeli et...Mkuu hujawahi kukutana na Code za kuwapeleka miziki? Mtu anawaingiza shimoni halafu anaenda kuponda kwenye viti virefu
😀😀😀 Pole Kwa kupigwa na kitu kizitoKuwa makini...
Kuna wababa hovyo humu... Wankupa code ambayo ukiweka 200 unapata million 90...
Alafu..... Au basi ila kuwa makini
Nani kakufundisha ku betMi cjajua vzr kuandaa so nachukuaga humu ama wakati mwingine najibonyezeaga tu
Jamaa nimemfta pm ila afungui ngoja tuu namsaka😀😀😀 Pole Kwa kupigwa na kitu kizito
Wakaka wa kazini ninakofanya kaziNani kakufundisha ku bet
😀😀😀😀Jamaa nimemfta pm ila afungui ngoja tuu namsaka
Acha tuone mkuu wamepeleka vitoto vya academychelsea anashindantena nyingi tu
ROUND ONE;Kuanzia leo hadi tatehe 24 tufanyeni msako wa hela ya Xmass kwa mtaji wa buku tujaribu kuzungusha ROLLOVER ya wastani wa odd 2, kwamana ya kwamba tucheze na odd 1.5 hadi odd 2 na point
Malengo yawe 1M+
Weka buku tu kwenye kambuni ambayo huitumii kubet kila siku halafu tuanze safari
Sio kazi RAHISI hata kidogo na inataka moyo kuvumilia kamtaji kakinona kila odd utaiona NGUMU😂
LAKINI kujaribu sio KUSHINDWA
Hata hivyo mbona tuna liwa tu kila siku..... why not
Humu manguli wa odd 1.5 hadi 2 wapo wengi
Leo binafsi jioni nitaanza kwa kutoa odd -2 halafu siku zinavyo kwenda wadau wengine tutashauriana tutoke vipi
Nawasilisha
Weee mbona una hatarree hvo...Wakaka wa kazini ninakofanya kazi
uwe unatutupia na sisi fisi tuokoteMwamba nipo hapa nimeanza na mia juzi ila nabeti live
Cyo muda sana miezi Kama minne hv mpaka SASA hvWeee mbona una hatarree hvo...
Mpaka sasa una mda gani..?
PARI PESA NI MATAPELIHumo humo paripesa wengine tunakula na hela tunatoa saafi kabisa bila kelele yoyote
PARI PESA NI MATAPELIView attachment 3175283
BET OF THE DAY ON PARIPESA
Code👉 V4XT3
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukijiunga Na Kudeposit.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
PariPesa
PariPesa
Promo Code: TIPS2424
PARI PESA NI MATAPELINilikuwa siko humu zaidi ya mwaka,... kumbe na ID umebadili mkuu?!
Ila promo code umeisahau kubadili!
Hapa ni kumwachia Mungu tuYani nimeweka Chelsea win toka asubui ila kwa kikosi nilichokiona mkeka ni lost tayari