Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sawa ila sheria na siasa kama 20 na twenty...Mi sidili na siasa nadili na Sheria una ishu ya kisheria njoo tufanye kazi...siasa hapana,mwambie aje Legal Unit atanikuta nimejaa tele
Shukrani bossHii ni kama correct score, tabiri mechi itaishaje kama ni 2-1 nk
πππ Endelea kujinyima upate nyingine...umeliwa tulia usije ukaponza tukakosa codes humu kisa buku tano yako,kaa Kwa kutulia..kuna mtu humu ama slogan yake inasema STAKE AT UR OWN RISKWewe unajua nimeipataje hiyo elufu tano...
Nimejinyima mengi alafu then mtu anakuja kusema et kona zometo draw...
Alafu unamtetea sana wewe.
Mi nataka changu hapa
Kwahio unazani umekubali au umekataaa?Kwanini alinishawishi..
Mi naweka Alfu tano yangu alafu badae anasema et kona wametoa droo hv wee ungekua wewe ungekubali au..?
We madam ni mwanasheria kwanini usitumie elimu yako kunitetea kwa huyu jamaa aliyenipiga buku tano yangu mkuuπππ Endelea kujinyima upate nyingine...umeliwa tulia usije ukaponza tukakosa codes humu kisa buku tano yako,kaa Kwa kutulia..kuna mtu humu ama slogan yake inasema STAKE AT UR OWN RISK
Humu ndani mnatuzulumu sisi tusio jua kubetKwahio unazani umekubali au umekataaa?
Lengo sio humo humo lengo ni kila anaekula apate haki yake kwa wakati acheni ujinga, wewe ukiwini na mimi nikawini wewe utoe mimi igome pumbavuHumo humo paripesa wengine tunakula na hela tunatoa saafi kabisa bila kelele yoyote
Mkuu uko serious kabisa ππ au joksSio mchaga mimi mkuu..
Ila nataka pesa yangu hapa...
Jamaa anasema tuweke pesa ya maana ukute yeye stake aliweka 100
NDIO imeingizwa leo 135,000,000Kumbe sportybet dau limefika zaidi ya millioni 100 na humu ndani mko kimya hamsemi
774576
Nataka pesa yangu mimiMkuu uko serious kabisa ππ au joks
Sportbety nigeria wameiweka hiyo zaidi ya miezi minne na hawajaitoa, sidhani kama watabadili labda waje wapigwe parefu ndio wanaweza kufanya hivyo.NDIO imeingizwa leo 135,000,000
Ila huwa wanaziweka kisha wanaitoa wansrudi kwenye 90 millions ya Kawaida
Akupe nani sasa ππ si uende kwa mhindiNataka pesa yangu mimi
Kumbe ndo tabia yenu..Akupe nani sasa ππ si uende kwa mhindi
Yeah always STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE[emoji3][emoji3][emoji3] Endelea kujinyima upate nyingine...umeliwa tulia usije ukaponza tukakosa codes humu kisa buku tano yako,kaa Kwa kutulia..kuna mtu humu ama slogan yake inasema STAKE AT UR OWN RISK
Mkuu utaweza kunilipa kweli ukitaka nikusimamie kesi yako?ikiwa buku tano tu unaipigia kelele hivyo???kaa Kwa kutulia ndugu.We madam ni mwanasheria kwanini usitumie elimu yako kunitetea kwa huyu jamaa aliyenipiga buku tano yangu mkuu
ExactlyYeah always STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE
Usichukue Acha wengine tuchukueπππ€Έπ€ΈKumbe ndo tabia yenu..
Humtoniona nachukua code humu tena