Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ha
Mkuu Odd 3 zinakuja mchana huu

Shemeji yako nyumba ndogo kaomba hela wax ya Xmass
Na bi mkubwa kabana sana bajeti kipindi hiki.
Sina budi kuitafuta kwa Kanji kwa udi na uvumba 😂
Hahaha hela ya kumnunulia wax tuibetie Kwanza, tukiliwa ajali kazini... 😂😂
 
I've already stake what I can able to loose. .
 
Wenye roho ngumu kibelenge cha umeme hicho. Hiki hata umeme ukikatika kinajiswichi kutumia engine ya diesel huwezi kujua ndani. Vituo vitatu vya juu kimeshapita salama bado hivyo vigumu vinavyofanywa.
 

Attachments

  • IMG-20241215-WA0017.jpg
    42.4 KB · Views: 2
Nawakumbusha tu Odd za Simba win zimefika 2+

Simba ana kila sababu ya kushinda hii game ila anakata kata mauno tu uwanjani😡
 
Nawakumbusha tu Odd za Simba win zimefika 2+

Simba ana kila sababu ya kushinda hii game ila anakata kata mauno tu uwanjani[emoji35]
Simba wakiongeza pressure kidogo tu kwenye box wanashinda hii game hawa waarabu hakuna kitu
 
enyimba anachofanyiwa huko malawi sio poa!
3-0 wakati mimi nilimpa handcap 0:2
 
Nawakumbusha tu Odd za Simba win zimefika 2+

Simba ana kila sababu ya kushinda hii game ila anakata kata mauno tu uwanjani😡
Shikamoo Mnyama

Nilijua hela yangu imekwenda 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…