Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi kwa nini Siku hizi Sportybet jamvi lenye uhakika wa Kushinda wanaziondolea Cashout? Nimeona mara kadhaa

Niliacha kubet option ya Draw no bet kwa sababu hiyo

Je kuna option nyingine inayozuia Cashout?
 
Sh
Ukrani sanaaa
Maelezo yamenyooka
 
Leo siku inaisha vibaya sana.
Baselona pambaf, Milan pambaf na wengine.
 
Game zetu za UHAKIKA zimetoa
Atletico βœ…
Manchester Derby. REFUND
Game ya Renaissance βœ…
Game ya Chelsea βœ…
Game ya Spurs βœ…

Kazi kwako ulichagua game moja kati hizi

Milan ❌
Dortmund ❌
Mamelodi βœ…
Atletico βœ…
Simba βœ…
 
Aiseeeee
Morata mpira wa kupasia net anagongesha nguzo
 
Game ya Chelsea naona kuna red card au sio direct red card, naomba kueleweshwa hapo
 
Game ya Chelsea naona kuna red card au sio direct red card, naomba kueleweshwa hapo
Yani mpira ushaisha mtu kapewa red cardπŸ˜‚ dah afu umeeka no red card kmmk, aiseee inauma sana hyo, unajua zako gemu ishaisha hakuna red unaondoka unachek mkeka lost , kisa mwamba kala umeme baada ya mpira kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…