Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hadithi hii inatufundisha usicash out mkeka kama umebadilika over 1.5 mpaka uhakikishe refa anauliza filimbi.
Screenshot_20241215-215317_Megapari.jpg
Screenshot_20241215-215340_Megapari.jpg
Screenshot_20241215-215650_Megapari.jpg
Screenshot_20241215-215738_Megapari.jpg
 
Hivi kwa nini Siku hizi Sportybet jamvi lenye uhakika wa Kushinda wanaziondolea Cashout? Nimeona mara kadhaa

Niliacha kubet option ya Draw no bet kwa sababu hiyo

Je kuna option nyingine inayozuia Cashout?
 
Sh
Hiyo maana yake ni kwamba kuanzia wakati wowote wa mchezo ucahague matokeo yanayoweza kupatikana wakati mchezo unaendelea

Mfano ukichangua 1-0 maana yake ni lazima home team aanze kufunga ili score board isome 1-0 hata kama akiendelea kufunga na mwisho ikawa 3-2
Na ikiwa Away ataanza kufunga ni lost kwasababu hakuna muda ambao score board itasoma 1-0

Ukichagua 2-2 maana ya ni lazima ndani mchezo itokee score board inasoma 2-2 hata kama game itakwisha 4-2

Sijui kama nimeeleza vizuri
Ukrani sanaaa
Maelezo yamenyooka
 
Leo siku inaisha vibaya sana.
Baselona pambaf, Milan pambaf na wengine.
 
Atletico saa hii wamoto sana
Muombe tu Over 0.5
Odd 1.144

Derby ya Manchester timu zote hazieleweki omba kona over 10( unaweza kushuka kidogo)
Odd 1.54

Renaissance wakiwa kwao wanashambulia sana waombe Over 0.5
Odd 1.125

Chelsea na Brentford ni timu zenye nidhamu No Red card
Odd 1.145

Simuoni Southampton akifunga goli 3 mbele ya Spurs, Mzue South kwa under 2.5
Odd 1.25

Hadi hapo jumla ODD 2.5 zenye asilimia kubwa ya KUTOA

Ili tusaidiane lawama inabidi sana uchagua game moja ya do or die kati ya hizi

Milan Win Odd 1.54
au
Dortmund Win Odd 1.45
au
Mamelodi Win Odd 1.54
au
Atletico Win Odd 1.47
au
Simba Win Odd 1.68


Ukijumlisha na timu moja hapo juu ya do or die unapata kuanzia
Odd 3.5 hadi Odd 4

Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae

ALWAYS STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE 🙏
Game zetu za UHAKIKA zimetoa
Atletico ✅
Manchester Derby. REFUND
Game ya Renaissance ✅
Game ya Chelsea ✅
Game ya Spurs ✅

Kazi kwako ulichagua game moja kati hizi

Milan ❌
Dortmund ❌
Mamelodi ✅
Atletico ✅
Simba ✅
 
Aiseeeee
Morata mpira wa kupasia net anagongesha nguzo
 
Game zetu za UHAKIKA zimetoa
Atletico [emoji736]
Manchester Derby. REFUND
Game ya Renaissance [emoji736]
Game ya Chelsea [emoji736]
Game ya Spurs [emoji736]

Kazi kwako ulichagua game moja kati hizi

Milan [emoji777]
Dortmund [emoji777]
Mamelodi [emoji736]
Atletico [emoji736]
Simba [emoji736]
Game ya Chelsea naona kuna red card au sio direct red card, naomba kueleweshwa hapo
 
Game ya Chelsea naona kuna red card au sio direct red card, naomba kueleweshwa hapo
Yani mpira ushaisha mtu kapewa red card😂 dah afu umeeka no red card kmmk, aiseee inauma sana hyo, unajua zako gemu ishaisha hakuna red unaondoka unachek mkeka lost , kisa mwamba kala umeme baada ya mpira kuisha
 
Back
Top Bottom