Hongera mkuu una roho ngumu sana yani wewe ni risk takerShikamoo Mnyama
Nilijua hela yangu imekwenda [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu una roho ngumu sana yani wewe ni risk takerShikamoo Mnyama
Nilijua hela yangu imekwenda [emoji23]
Huwezi sema rollover 2 wakati one imeshindikanaSportybet
Roll over #2
815765B
Mkuu sidhani kama msg ilikua yako naona umenikurupukia from nowhere
Olymcos na mwenzake fc Twwnte niliwaomba Goli moja tu ilipofika dk ya 60 cashout ikasoma 194k nikaipotezra nikiamini 500k yangu ipo ilipofika dakika ya 75 Cashout ikafungwa mechi ikaisha 0-0Hadithi hii inatufundisha usicash out mkeka kama umebadilika over 1.5 mpaka uhakikishe refa anauliza filimbi.View attachment 3177599View attachment 3177600View attachment 3177601View attachment 3177602
Ukrani sanaaaHiyo maana yake ni kwamba kuanzia wakati wowote wa mchezo ucahague matokeo yanayoweza kupatikana wakati mchezo unaendelea
Mfano ukichangua 1-0 maana yake ni lazima home team aanze kufunga ili score board isome 1-0 hata kama akiendelea kufunga na mwisho ikawa 3-2
Na ikiwa Away ataanza kufunga ni lost kwasababu hakuna muda ambao score board itasoma 1-0
Ukichagua 2-2 maana ya ni lazima ndani mchezo itokee score board inasoma 2-2 hata kama game itakwisha 4-2
Sijui kama nimeeleza vizuri
Hawa dawa ni kuwakimbiaHivi kwa nini Siku hizi Sportybet jamvi lenye uhakika wa Kushinda wanaziondolea Cashout? Nimeona mara kadhaa
Niliacha kubet option ya Draw no bet kwa sababu hiyo
Je kuna option nyingine inayozuia Cashout?
Game zetu za UHAKIKA zimetoaAtletico saa hii wamoto sana
Muombe tu Over 0.5
Odd 1.144
Derby ya Manchester timu zote hazieleweki omba kona over 10( unaweza kushuka kidogo)
Odd 1.54
Renaissance wakiwa kwao wanashambulia sana waombe Over 0.5
Odd 1.125
Chelsea na Brentford ni timu zenye nidhamu No Red card
Odd 1.145
Simuoni Southampton akifunga goli 3 mbele ya Spurs, Mzue South kwa under 2.5
Odd 1.25
Hadi hapo jumla ODD 2.5 zenye asilimia kubwa ya KUTOA
Ili tusaidiane lawama inabidi sana uchagua game moja ya do or die kati ya hizi
Milan Win Odd 1.54
au
Dortmund Win Odd 1.45
au
Mamelodi Win Odd 1.54
au
Atletico Win Odd 1.47
au
Simba Win Odd 1.68
Ukijumlisha na timu moja hapo juu ya do or die unapata kuanzia
Odd 3.5 hadi Odd 4
Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae
ALWAYS STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE 🙏
Sawa mkuu nimeachaacha mapepe
Game ya Chelsea naona kuna red card au sio direct red card, naomba kueleweshwa hapoGame zetu za UHAKIKA zimetoa
Atletico [emoji736]
Manchester Derby. REFUND
Game ya Renaissance [emoji736]
Game ya Chelsea [emoji736]
Game ya Spurs [emoji736]
Kazi kwako ulichagua game moja kati hizi
Milan [emoji777]
Dortmund [emoji777]
Mamelodi [emoji736]
Atletico [emoji736]
Simba [emoji736]
Yani mpira ushaisha mtu kapewa red card😂 dah afu umeeka no red card kmmk, aiseee inauma sana hyo, unajua zako gemu ishaisha hakuna red unaondoka unachek mkeka lost , kisa mwamba kala umeme baada ya mpira kuishaGame ya Chelsea naona kuna red card au sio direct red card, naomba kueleweshwa hapo
Cucurella baada ya gemu kuisha alipewa kadi ya njano ya pili , sio direct red cardGame ya Chelsea naona kuna red card au sio direct red card, naomba kueleweshwa hapo
So kama uliweka no red card mkeka unatiki ama, second yellow card kwenye bet haihesabiki kama red?Cucurella baada ya gemu kuisha alipewa kadi ya njano ya pili , sio direct red card