Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nakuelewa sana UCHAMBUZI wako
 
Hizi Acc zenu za DEMO haziwekwi hata Tax ya kuzugia kuwa ni kweli?

BTW kuna mtu kakwama huku njoo umsaidie kutoa hela zake Paripesa
Dah! Mkuu uko makini sana. Ikabidi nichukue calculator ili nione kweli kama kuna kodi ya 10% imekatwa.
Nimejiridhisha TRA wanakata kodi kwenye pesa halisi, Sio demo account.
 
Mkuu wanarekebisha utoaji kwa njia ya M-Pesa, nadhani leo hii Itakuwa poa na utaweza kutoa pesa yako.
Mkuu unakumbuka issue yangu mpaka nilikuja DM kwako? Hao Paripesa utakuwa unajuana nao wewe tu nafikiri. Kuweka hakuna shida tatizo linakuja unapotaka kutoa hiyo pesa yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…