Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yanga ana hasira na kutaka kuprove sio kayumba kama Man City😂. Muombe Over 1.5
Odd 1.7

Game ya Benfica timu mwenyeji ni mchovu sana kufunga mzuie kwa Under 1.5
Odd 1.18

ToT vs Man U wana penya sana katikati kutafuta magoli kuliko cross, No headed goal
Odd 1.59

Game ya Chelsea No sending Off(sio No Red Card)
Odd 1.2

Jumla odd 3.6 zenye asilimia kubwa ya kutoa

Tusaidiane lawama kwa kuchagua game moja tu ya direct win kati ya hizi 👇👇

Zamelek Win. Odd 1.96
Inter Win. Odd 1.4
Atletico Luanda Win. Odd 1.46
Ajax Win. Odd 1.26

Ukijumlisha na timu moja hapo juu ya lawama unapata kuanzia
Odd 4 hadi Odd 7+

Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae

ALWAYS STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE 🙏

NB; Natumia 1xbet
Mkuu nakuelewa sana UCHAMBUZI wako
 
Hizi Acc zenu za DEMO haziwekwi hata Tax ya kuzugia kuwa ni kweli?

BTW kuna mtu kakwama huku njoo umsaidie kutoa hela zake Paripesa
Dah! Mkuu uko makini sana. Ikabidi nichukue calculator ili nione kweli kama kuna kodi ya 10% imekatwa.
Nimejiridhisha TRA wanakata kodi kwenye pesa halisi, Sio demo account.
 
Mkuu wanarekebisha utoaji kwa njia ya M-Pesa, nadhani leo hii Itakuwa poa na utaweza kutoa pesa yako.
Mkuu unakumbuka issue yangu mpaka nilikuja DM kwako? Hao Paripesa utakuwa unajuana nao wewe tu nafikiri. Kuweka hakuna shida tatizo linakuja unapotaka kutoa hiyo pesa yako.
 
Back
Top Bottom