Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukibet timu ishinde ina draw au inafungwa
Ukibet gg haitoi kama Chelsea leo
Ukibet corners over inatoa corner 5 tu
Ukibet no team to score three goals in row haitoi kwani kuna timu inaruhusu goli tatu in row kama man leo dhidi ya Bournemouth

Ukibet under 3.5 wanafungana magoli 2-5 kama game ya Liverpool now dhidi ya spurs dk 78
 
kina chelsea hao,
mikeka yote 3 kachana huyo kilaza!

individual total over 0.5 kachana,.
kona over 8.5 kachana,
overall total over 1.5 kachana!
 
Ikifika mida kama hii nakuwa kiwanja tunagombania kula hela zangu mimi na mhindi. Haiwezekani ale peke yake.
 
Treni zinadondoka lakini tunaendelea kubetia pesa ya kanji
 

Attachments

  • Screenshot_20241222-223942_SportyBet.jpg
    142.7 KB · Views: 5
Mkuu pole sana. Ingawa betting haina fundi lakini kuna vitu vya kushauriana.
Kwa hiyo stake ningekushauri uwe unatafuta odds 1.4 mpaka 2 ambazo unawakilisha unazipata kwenye game 1,2 mpaka 3.
Kutafuta odds hata kama 1.04 kwa game nyingi ni hatari maana nazo zinachangia kama kawaida.
 
Dah pole mkuu. Sema wew n mwanaume kwel kwel yan umetia m1 me ningepata hyo tu kwenye betting ingekua unyama sana
 
Ila betting nyoko
Unachukua odds 10 unaweka elfu8 inatoa 90000

Unachukua odds tatu unaweka 100k unaliwa

Unajiuliza kwa nini.sikuweka laki kwenye odds 10 unabaki na hasira mwisho.unajipa moyo 90k imekufariji

Mapambano yanaenxelea
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‡
 
Tuwe tunapost na lost ili tuendelee kujifunza.
Hiyo game ya PSG first half walitoka 0-0 hisia zikanambia weka over 1.5 hazikosi na zinatoa kweli.

Betis 1H lilitokea goli 1 hisia zokaniambia omba goli 1 lingine hawashindwi hawa likatoka kweli.

Juventus hawa 1H tu wakawa 1-2, nikajisemea second Half wanaweza kuleta goli 3 nyingine kama liverpool.
Ili kujilinda niombe goli 1 tu yaani over 3.5.
Baada ya hapo nikaagiza mchemsho wa kuku.
Hii inatufundisha kuwa matokeo ya first half hayaakisi kabisa matokeo ya second half.
Wanaweza kupigana corner 4-5 first half halafu ukajilipua lakini matokeo yake second half zinatoka corner 1-0.
 

πŸπŸ“πŸŽπŸŽπŸŽπŸŽπŸŽ 𝐁𝐎𝐎𝐌 βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

HONGERA KWA WALIOFUATA πŸ’°πŸ’°πŸ’°

Haupo Betwinner? Jisajili Hapa πŸ‘‡

https://cutt.ly/AeS2uw5Z

https://cutt.ly/AeS2uw5Z

Tumia Promo Code π“πˆππ’πŸπŸ’πŸπŸ’ Upate πŸπŸ“πŸŽπŸŽπŸŽπŸŽ Bure Ukideposit.
 
nimeangalia mkeka wako. umestake milioni 1. timu moja imekuchania. duh!, milioni 1 imekwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…