Pole mkuu, mimi jana nilichaniwa Mkeka mmoja wa odds 5 na Mkeka mwingine wa odds 5 uliboom. Leo Pia ni siku nyingine mkuu. Lazima tushindefresh mkuu, sema tumeamka tu na maumivu ya vipigo vya weekend!
shukran kaka.. hapa mtaji wote nimepunwa jana dadeq hii sikukuu itabidi niwe mpole.Pole mkuu, mimi jana nilichaniwa Mkeka mmoja wa odds 5 na Mkeka mwingine wa odds 5 uliboom. Leo Pia ni siku nyingine mkuu. Lazima tushinde
Leo lazima tumpune Kanji mkuu. Tusikate tamaashukran kaka.. hapa mtaji wote nimepunwa jana dadeq hii sikukuu itabidi niwe mpole.
Yap imeenda kaka ndo betting iko ivyo u win you loose maana namm isingechana iyo moja nilikua na mpiga parefu so ngoja tuendelee kumsakanimeangalia mkeka wako. umestake milioni 1. timu moja imekuchania. duh!, milioni 1 imekwenda
Acha watutie moyo tunaopoteza vilaki laki vyetu,,,,,,, hii ni moja ya utafutaji,,,,, ila kanji atajaa tuMkuu pole sana. Ingawa betting haina fundi lakini kuna vitu vya kushauriana.
Kwa hiyo stake ningekushauri uwe unatafuta odds 1.4 mpaka 2 ambazo unawakilisha unazipata kwenye game 1,2 mpaka 3.
Kutafuta odds hata kama 1.04 kwa game nyingi ni hatari maana nazo zinachangia kama kawaida.
ππππ kanichania huyu bwege mkeka wangu wa 10mhii ni man yuu au takataka
kanichania huyu bwege mkeka wangu wa 10mhii ni man yuu au takataka
kwa stake hy si bola inbox niwe nakupa ods 2 au tatu za uhakika kwa stake kama yako ningeipata mimi ningekuwa nakula m2 kama faida evely four day and lost day two dah watu manahela mnazichezea hebu uje kwanza tuyajenge pangine naweza pata mtaji kupitia weweSema wakuu betting ni hatari sana utrecht kaninyima m7 na alikua anaongoza aisee sikukuu imeniendea vibaya π’ π π’ π
Beti Mtandaoni | Odds Kubwa Meridianbet | Michezo ya kubeti
Beti mtandaoni kwenye michezo yote kupitia jukwaa namba moja la kubeti Tanzania. Furahia odds kubwa, jisajili na uanze kubeti mtandaoni leo.meridianbet.co.tz
bora wewe ulichaniwa mi nilivyoona stake inashuka man cty na yule mwenzake nikajikuta na cash out laki moja kwenye m25 nakuja kustuka city kaludisha mkeka win nikaikosa m25 mana niliweka wafungane odds 502 kwa stake ya buku 30 alibak yeye tyuu uchawi upo na hy c mala mojakanichania huyu bwege mkeka wangu wa 10m
π π π π
Kukuza mtaji siyo ujingaKubetia pesa ya kanji ndiyo akili yenyewe tuendelee kujaza kibubu kwanza kabla ya matreni ....hata yakichanika hakuna hasara
Mkuu hivi hawa ni wakweli au nao wanabahatisha tuAlhamisi siku ya tarehe 26/12/2024
Kuna mechi nyingi sana
Mechi nyingi zitatoa under 2.5 kuachana na EPL
Wachezaji watakuwa wameshiba pilau la sikukuu na hangover
Ngoja nianze uchambuzi taratibu japo nipo safarini,lakini mechi nyingi katika mtandao wa forebet ( mechi za ligi nyingi)na sportmole (previews ligi kubwa tu)zitawekwa tarehe 25 na tarehe 26 asubuhi
Football predictions for Thursday 26.12.2024 | Forebet
Football predictions for the matches of Thursday 26.12.2024. The Forebet mathematical free 1X2 predictions.m.forebet.com
Kwenye forebet tumia akili yako kuamua options kwani ni mathematical predictions na sio lazima ufuate kama ilivyo
Wanabahatisha tu so unachotakiwa ni kuangalia mechi husika (open in chrome ) halafu uangalie head to Head, last games niMkuu hivi hawa ni wakweli au nao wanabahatisha tu