Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ah4kof.jpg

CHINA BASKETBALL 🏀

Code>>> ZAL6P

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz
 
Pole mkuu, mimi jana nilichaniwa Mkeka mmoja wa odds 5 na Mkeka mwingine wa odds 5 uliboom. Leo Pia ni siku nyingine mkuu. Lazima tushinde
shukran kaka.. hapa mtaji wote nimepunwa jana dadeq hii sikukuu itabidi niwe mpole.
 
Mkuu pole sana. Ingawa betting haina fundi lakini kuna vitu vya kushauriana.
Kwa hiyo stake ningekushauri uwe unatafuta odds 1.4 mpaka 2 ambazo unawakilisha unazipata kwenye game 1,2 mpaka 3.
Kutafuta odds hata kama 1.04 kwa game nyingi ni hatari maana nazo zinachangia kama kawaida.
Acha watutie moyo tunaopoteza vilaki laki vyetu,,,,,,, hii ni moja ya utafutaji,,,,, ila kanji atajaa tu
 
Kubetia pesa ya kanji ndiyo akili yenyewe tuendelee kujaza kibubu kwanza kabla ya matreni ....hata yakichanika hakuna hasara
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-110414_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241223-110414_SportyBet.jpg
    134.2 KB · Views: 2
Sema wakuu betting ni hatari sana utrecht kaninyima m7 na alikua anaongoza aisee sikukuu imeniendea vibaya 😢 😭 😢 😭

kwa stake hy si bola inbox niwe nakupa ods 2 au tatu za uhakika kwa stake kama yako ningeipata mimi ningekuwa nakula m2 kama faida evely four day and lost day two dah watu manahela mnazichezea hebu uje kwanza tuyajenge pangine naweza pata mtaji kupitia wewe
 
kanichania huyu bwege mkeka wangu wa 10m
😀 😀 😀 😀
bora wewe ulichaniwa mi nilivyoona stake inashuka man cty na yule mwenzake nikajikuta na cash out laki moja kwenye m25 nakuja kustuka city kaludisha mkeka win nikaikosa m25 mana niliweka wafungane odds 502 kwa stake ya buku 30 alibak yeye tyuu uchawi upo na hy c mala moja
 
Kubetia pesa ya kanji ndiyo akili yenyewe tuendelee kujaza kibubu kwanza kabla ya matreni ....hata yakichanika hakuna hasara
Kukuza mtaji siyo ujinga
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-131421_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241223-131421_SportyBet.jpg
    197.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241223-131438_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241223-131438_SportyBet.jpg
    151.3 KB · Views: 2
Alhamisi siku ya tarehe 26/12/2024

Kuna mechi nyingi sana

Mechi nyingi zitatoa under 2.5 kuachana na EPL

Wachezaji watakuwa wameshiba pilau la sikukuu na hangover

Ngoja nianze uchambuzi taratibu japo nipo safarini,lakini mechi nyingi katika mtandao wa forebet ( mechi za ligi nyingi)na sportmole (previews ligi kubwa tu)zitawekwa tarehe 25 na tarehe 26 asubuhi

Kwenye forebet tumia akili yako kuamua options kwani ni mathematical predictions na sio lazima ufuate kama ilivyo
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-141538.png
    Screenshot_20241223-141538.png
    157.7 KB · Views: 2
Alhamisi siku ya tarehe 26/12/2024

Kuna mechi nyingi sana

Mechi nyingi zitatoa under 2.5 kuachana na EPL

Wachezaji watakuwa wameshiba pilau la sikukuu na hangover

Ngoja nianze uchambuzi taratibu japo nipo safarini,lakini mechi nyingi katika mtandao wa forebet ( mechi za ligi nyingi)na sportmole (previews ligi kubwa tu)zitawekwa tarehe 25 na tarehe 26 asubuhi

Kwenye forebet tumia akili yako kuamua options kwani ni mathematical predictions na sio lazima ufuate kama ilivyo
Mkuu hivi hawa ni wakweli au nao wanabahatisha tu
 
Mkuu hivi hawa ni wakweli au nao wanabahatisha tu
Wanabahatisha tu so unachotakiwa ni kuangalia mechi husika (open in chrome ) halafu uangalie head to Head, last games ni
👇
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-144553.png
    Screenshot_20241223-144553.png
    123.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241223-144601.png
    Screenshot_20241223-144601.png
    125.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241223-144607.png
    Screenshot_20241223-144607.png
    123.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241223-144613.png
    Screenshot_20241223-144613.png
    124.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom