Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kubetiq pesa ya kanji
 

Attachments

  • Screenshot_20241225-174856_SportyBet.jpg
    136.7 KB · Views: 4
Mna hangaika kama vile Sio wasomi..mitandao YA simu Ina visa kadi...hivyo fungua visa kadi ya mtandao wako Tigo au voda..Airtel Kisha deposit Kwa kutumia visa kadi yako..Kuna option YA malipo via Visa Kadi

Hutojutia tena
Tigo ndio mtandao gani mkuu?
 
Kemekuchaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣

Boxing Day au Mwakinyo DAY🥊 🥊

Leo NDIO tutajua, Muhindi au sie

Na kesho sikukuu inaendelea,sasa kesho NDIO Boxing Day 🎁🎁🎁 baada kumpasua Kanji

Narudi kabla ODDS hazijapanguka,maana naona mkeka wa Jana zipo vizuri leo mapema naona Muhindi anazivuruga
 
Oyaa.... Timu yeyote tu ipate goli mbili.... Ngoja waanze kucheza tuone maajabu ..... Siku njema ya maboksi, makonde,masumbwi na Leo tusimbwike na mhindi/mrusi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…