du? Na meridian je?
Naona muhindi akipita humu anachukia mbaya. Maana hii tekniki ya mechi moja uweke dau refu inakula kwake sana.
Jamani eeeh nishaurini nimebakiza 50000 free bet money baada ya faida na kuondoa mtaji nimeona hiyo 50000 niwekeze tena. Nipeni timu moja tu nimalize kazi mie matokeo kesho asbh sitaki lala na presha
Kuna timu Hapa nimeiwekea pesa kwa kutumia hiyo formula. Sina amani kabisa.Huo ndo mwendo wetu twapiga mechi moja moja ila yenye uhakika na kuweka pesa kubwa
Kuna timu Hapa nimeiwekea pesa kwa kutumia hiyo formula. Sina amani kabisa.
Jamani eeeh nishaurini nimebakiza 50000 free bet money baada ya faida na kuondoa mtaji nimeona hiyo 50000 niwekeze tena. Nipeni timu moja tu nimalize kazi mie matokeo kesho asbh sitaki lala na presha
Jamani eeeh nishaurini nimebakiza 50000 free bet money baada ya faida na kuondoa mtaji nimeona hiyo 50000 niwekeze tena. Nipeni timu moja tu nimalize kazi mie matokeo kesho asbh sitaki lala na presha
Kuna timu Hapa nimeiwekea pesa kwa kutumia hiyo formula. Sina amani kabisa.
weka Double chance England....
hahahaha nakuombea kaka, utapiga pesa tu, ila mimi bado sana kufanya ivyo, mtaji wangu mdogo sana
weka GG game ya england na serbia... Take it from me
Nimepigwa laki 1 leo, nimefunga biashara mpaka kesho tena.
Nawaambieni leo England lazima atashinda tu wekeni malaki mle double point 7
Utajutia maneno yangu
Haitawezekana England kufungwa