Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

TAFAKURI YA LEO

Liverpool vs Man U wapinzani wa jadi ngumu kutabiri mshindi
Watashambuliana sana na uwezekano wa kona za kutosha ni mkubwa
Nenda na
GG Odd 1.65
au
Kona Over 10 Odd 1.60

Al-Masry wazito sana kufunga magoli mengi na wanakutana na waarabu wenzao Zamelekh wa kupaki basi
Wazuie Al-Masry
Under 1.5 Odd 1.4

Fulham Vs Ipswich
No Red Card Odd 1.2

Chagua game mojawapo ya lawama kati ya hizi
Muue Simba Odd 2.4 au
PSG Win Odd 1.6 au
Roma Win Odd 2.6

Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubirie maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae

Always stake what you can afford to lose πŸ™
 
Mimi nawekeza na sportybet tu ndugu yangu,nikitwist 1x ndo makampuni nayoayamini..nimeiona hiyo app ndio nikataka niijue zaid kutoka Kwa wajuzi
Mimi 1xbet nilikuwa naipenda sana. Walipo leta maswala ya kodi nikasema ya TRA aachiwe serikali na ya mkamaria aachiwe mwenyewe.

Sasa hivi nimekomaa na Megapari, melbet na 888starz.
 
146ECD6A Code Ya mwisho niliyokuwa nii-Stake kwa hawa Mak.uma wa kuitwa
@BetwayTanzania
...sita-code Nao milele! Wamezuia hela yangu!

The One & Only SportyBet Code CCD17A
 

Attachments

  • Screenshot_20250105_141217_Chrome.jpg
    189.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20250105_091805_Chrome.jpg
    179.7 KB · Views: 6
  • StitchIt_20250501022317_205.png
    296.3 KB · Views: 6
Liver na Man u nimeiweka hivi
 

Attachments

  • Screenshot_2025-01-05-16-12-31-49_b783bf344239542886fee7b48fa4b892.jpg
    177.3 KB · Views: 7
Ukikutana na mtu yeyote anayebet anakwambia au amendika sehemu JAZA PROMO CODE hii upate bonus sijui nini nini! HUYO NI TAPELI, AMEAJIRIWA NA KAMPUNI ILI KUINGIZA WATU MKENGE.
 
Game ya Punjab vs Kerala ina odds 1.82 za over 2.5 ambazo ni 93% uhakika kutoa...sijui unasubiri nini hela hiyo πŸ˜†

Tukutane baada ya game
 
Fanya jambo wangu Nina kimeo cha 70,000 hapa. Niweke hata 10k.
Niko solve kwanza 🀣🀣🀣
Vimeo vinatolewa na pesa za kubet? πŸ˜†
Haya nimekuwekea hapo juu,mechi tatu tu odds 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…